Kisumu vs Mwanza

Nimejaribu ku-calculate miradi inayoendelea Mwanza imefika $1.2 bln assuming half of SGR Mwanza-Isaka is to be spent in Mwanza region!
kenya alishaa komaa kitambo!. sisi tulimaliza kujenga kila kitu. int'l airports, sgr, ports, highways, superhighways, expressways, underpass and interchanges, nuclear powerplant etc etc
 
kenya alishaa komaa kitambo!. sisi tulimaliza kujenga kila kitu. int'l airports, sgr, ports, highways, superhighways, expressways, underpass and interchanges, nuclear powerplant etc etc
Nimejaribu ku-calculate miradi inayoendelea Mwanza imefika $1.2 bln assuming half of SGR Mwanza-Isaka is to be spent in Mwanza region!
Sijawah kuona mji duniani unaoshindania nafasi ya pili kama mwanzA
Mbona hatujawahi kuskia mabishano ya Mombasa vs Kisumu
It's clear Mombasa is the second city in Kenya and everyone knows that
Back to tz Sasa mwanza mnangangania kitu ambacho hamna
Hamtaki kuachia nafasi 🀣🀣mnatumia nguvu kubwa kujitangaza kwamba nyie ni namba mbili mko ahead of arusha lakin wenyewe mnaokaa hapo mnaelewa hamna kitu hapa mji umepoa kama uko bariadi mzunguko ndio huo hamna Yan uwanja mdogo wa arusha una ndege nyingi kuliko one and only wa mwanza
Ts because hamjiamini... there's nothing special in there ndo maana mnapigania nafasi ya pili Kwa jasho Na damu utadhan mmeambiwa Kuna mirathi
Tangu nakua naambiwa Mwanza ni namba 2 but still Hadi leo hamna investment ya maana watakimbilia kukuonesha rockcity mall...sgr... airport building...soko ...stendi🀣🀣🀣acheni ushamba tukisema investments tunamaanisha private sector ones mje mtuoneshe kiwanda cha sayona sasa 😎
Kubalini tu without government hands there is nothing in there...mji flani local Sana afadhali morogoro atleast iko karibu Na dar
 
bro, hapo umenena kama watu kumi. waTz wenyewe hata ni kama hawajui nchi yao
 
Nina wasiwasi na wewe kama ni mzima au tunachat na vichaa humu ndani.Cha kukusahidia wenye mamlaka ya kutoa sifa na hadhi za miji,manispaa na majiji Tanzania ni serikali na wataalam wake.Sasa wewe kupiga kalele humu ndani hakukusahidii kitu,chakufanya nenda TAMISEM kwa mama Ummy ukawambie kwamba sasa Arusha imekua kiasi cha Kuizidi Mwanza ili Arusha ichukue nafasi ya Mwanza nadhan ubishi utaisha.Ila kuendelee kupiga kelele za kinafiki wakati taarifa za serikali na za kimataifa zinasema Mwanza ni second city in Tanzania itakuwa ni wendawazimu.Wala usiangaike na mimi,mimi sio nilietangaza Mwanza kuwa second city Tanzania wala sio mimi niliekataa Arusha isiwe second city.Mwanza inataendelee kuwa Second city in Tanzania wala msitegemee ni leo wala kesho kushuka na kama itapata upinzani kwa nafasi yake itatoka Dodoma wala sio Arusha.Arusha itaendelea kuwa SAFARI CITY na wasipokubali kubadilika nakuwa na diverstification economy Mbeya na Iringa itawapita soon.Sifa za midomo hazijengi hata hao wakenya wanapiga kelele tu kwa sababu ya kutetea Ukenya wao ila Mwanza city wanaijua vizuri.
 
Yeah, mwanza tunajua vizuri. The only town with one road that gets you in and out of the town.
The only town with one shopping mall.
The only town where airport looks like a godown.
Mwanza has no serious industries.
Economy ya Mwanza is less than that of Kisii.
Mwanza is the only town with pot holes in it's CBD.
 
Hakuna asiyejua mnaongoza kwa umaskini, kujisaidia ziwani na kuishi vichakani 😎
Vibarabara vyembamba utadhan wanapita panyaπŸ˜₯
 
🀣🀣🀣 You nailed it man
Alafu tabia ya kwanza ya maskini roho mbaya
Wakimuona tajiri wanamchukia
Ndio hao kila siku wanaleta bifu
na wakenya
Wakiambiwa tumewapita hawataki
Wanataka waambiwe wao ndio mji bora duniani 🀣🀣
Mji una Mall moja tena ya kujengewa na serikali
Watu wao wenyewe ndo kama huyu sasa unategemea nini hapoπŸ˜€
 
Hakuna asiyejua mnaongoza kwa umaskini, kujisaidia ziwani na kuishi vichakani 😎
Vibarabara vyembamba utadhan wanapita panyaπŸ˜₯
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hizo ni taarabu tu.Serikali na wataalam wake na takwimu zao wasema Mwanza ndo jiji lenye hadhi kwa kila kitu baada ya Dar.Na rock city mall ndo mall kubwa na mzuri kuliko zote Tanzania na nyingine inajengwa Dodoma city,Saizi Mwanza tunajenga international market,two international bus terminals ,Mwanza ndo ina highest cotral tower east Africa,rada nayo nyingine hiko Mwanza,longest bridge afrika mashariki hiko Mwanza,Mwanza ndo ina mameli makubwa ya abiri afrika mashariki,Arusha size yako ni IringaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚SGR nayo imeanza kujengwa Mwanza na hii SGR inaunganisha majiji makubwa tu (Mwanza,Dodoma na Dar).Arusha ni kelele tu.Sasa nyie endeleeni kuwa matajiri wa Maneno.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo airport yenu inabeba hadi mbuzi
Tuishi humu kwanza


 
kuna meli mbili kubwa zinajengwa, PAX terminal Mwanza Airport, cancer ecenter Bugando, Mama na mtoto ward Toure Hospital na gold refineries pia!
 
kuna meli mbili kubwa zinajengwa, PAX terminal Mwanza Airport, cancer ecenter Bugando, Mama na mtoto ward Toure Hospital na gold refineries pia!
Unawachanganya machalii wafafanulie hiyo PAX kwanza ni nini [emoji2][emoji2][emoji2],

Hiyo ndogo kuna Bugando Cadriatic Institute inajengwa billion 57 budget ina helipad juu. Mwanza majengo marefu yenye Helpad yanafika mawili huko Arusha wanayo mangapi?????
 
Hiyo airport yenu inabeba hadi mbuzi
Tuishi humu kwanza


View attachment 1763965
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ninavyojua Airport ya Arusha airbus na boeng haziwezi kutua labda vile vindege panzi vya watalii vinavyobeba abiria 6 au 5.Lakini Mwanza ni international standard ndege aina yoyote inatua.Na route ya airbus na boeng Tanzania ni Mwanza-kilimanjaro-dodoma -Dar kila siku wala Arusha haimo.We endelea kupiga kelele na utajiri wa maneno wakati na dodoma imesha wapiga bao.
 
Hiyo airport yenu inabeba hadi mbuzi
Tuishi humu kwanza


View attachment 1763965
Kubeba mbuzi ndo maana ya international Airport.Mwanza kuna maviwanda makubwa ya samaki zinapelekwa ujerumani,canada,austalia,ital,france,portigal,englind pia kuna viwanda vya nyama inapelekwa falme za kiarabu,Dubai,Saud arab na oman ndo maan ulisikia ndege ibeba nyama ya mbuzi inapelekwa uarabuni ukashangaa kwasababu huko Arusha haya mambo hayapo.
 
nakuru. aka (naxvegas)hope not to spoil the thread.. but ata nakuru pia ni mambo mbaya. achana na kenya. i ll tell u for free. naxvegas could be documented as kenya's 4th largest city.. but it still rival mwanza!..naxvegas
 
🀣🀣🀣
 
Kama hapa ni nakuru kweli basi mkuu levels

 
Hakika kwa haya madini hadipokuekewa atakuwa ni punguwani wa akili.
 
Wewe ni SIMBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…