Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Bange za Arusha nomaa!Arusha airport imeizid adi KIA na bado unaziamini hizi statistics.
Mdazi huwa simuelewi na data zake sijui huwa anatoa wap?Bange za Arusha nomaa!
Kia the fourth largest EA in eastern Africa in terms of passengers alafu mtu anaifananisha na local EA ya arushaArusha airport imeizid adi KIA na bado unaziamini hizi statistics.
Alafu anatokea zwazwa mmoja wa ziwani akidhani arusha haitumii kia kwa international flights😥 au mnajua kia iko chato🤣🤣Kia the fourth largest EA in eastern Africa in terms of passengers alafu mtu anaifananisha na local EA ya arusha
Unafki pembeni nakuru kwa barabara mko vizuriView attachment 1764303hope not to spoil the thread.. but ata nakuru pia ni mambo mbaya. achana na kenya. i ll tell u for free. naxvegas could be documented as kenya's 4th largest city.. but it still rival mwanza and arusha combined!..View attachment 1764304naxvegasView attachment 1764305View attachment 1764308View attachment 1764310View attachment 1764624View attachment 1764626View attachment 1764319View attachment 1764695View attachment 1764703
shukran za dhati ndugu yangu 👊Unafki pembeni nakuru kwa barabara mko vizuri
I had to check to verify that's nakuru
Wazee hata arusha hatuna barabara kama za nakuru
NB: KWA NDUGU ZANGU WA MWANZA ITAWACHUKUA HADI MWAKA 3672 KUPATA BARABARA ZA HIVO🤣🤣
Kuna maandazi mmoja aliniletea list yake kuniambia mwanza kuna flyover mbili zinajengwa nikamsamehe tu najua haelewi aliloongea😎
Kisumu is my favourite place in Kenya. God bless and keep this city.Watanzania itabidi mumekuja Bench marking Kenya. Kisumu ni ya tatu lakini imeshinda Mwanza mji wa pili Tanzania. Mwanza linganisha na Eldoret[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂mndazi na dyfre na wapumbavu wakenya wengine sisi watanzania hatufanyi vitu au kutengezeza vitu ili tuwafurahishe wakenya au watu wengine.Tunafanya au kutengeneza vitu ili kukizi mahitaji ya watanzania nakuwapa watanzania raha ndo maana Mwanza ina Mameli mengi makubwa kuliko kenya Nzima wala siwezi kuwasema kwa hilo kwasababu ziwa victoria lenyewe wanamili 5%.Tanzania ndio inaongoza kwa madaraja marefu na mazuri nalo hili siwezi kuwasemea kwababu 80% ya kenya ni jangwa sasa hayo madaraja watayajenga wapi.Mwanza ndo jiji linaongoza kwa mineral refinery kenya hawa hata moja nalo hili siwezi kwani kenya hata machimbo ya chumvi hawana.Itakuwa mwendawazimu kuuliza flyover Mwanza wakati kuna mabarabara yanapasua milima.😂😂😂😂kaeni kimya kila mtu ashinde mechi zake...tusichoshane vichwa endeleni na lockdown na chanjo zenu japokuwa naskia zimewabadilishia mfumo wa hedhi,sasa kilichobaki na wanaume kupata hedhi.😂😂😂Kisumu is my favourite place in Kenya. God bless and keep this city.
Ila wa-respect Mwanza's economic power in the Lake Victoria basin!😂😂😂mndazi na dyfre na wapumbavu wakenya wengine sisi watanzania hatufanyi vitu au kutengezeza vitu ili tuwafurahishe wakenya au watu wengine.Tunafanya au kutengeneza vitu ili kukizi mahitaji ya watanzania nakuwapa watanzania raha ndo maana Mwanza ina Mameli mengi makubwa kuliko kenya Nzima wala siwezi kuwasema kwa hilo kwasababu ziwa victoria lenyewe wanamili 5%.Tanzania ndio inaongoza kwa madaraja marefu na mazuri nalo hili siwezi kuwasemea kwababu 80% ya kenya ni jangwa sasa hayo madaraja watayajenga wapi.Mwanza ndo jiji linaongoza kwa mineral refinery kenya hawa hata moja nalo hili siwezi kwani kenya hata machimbo ya chumvi hawana.Itakuwa mwendawazimu kuuliza flyover Mwanza wakati kuna mabarabara yanapasua milima.😂😂😂😂kaeni kimya kila mtu ashinde mechi zake...tusichoshane vichwa endeleni na lockdown na chanjo zenu japokuwa naskia zimewabadilishia mfumo wa hedhi,sasa kilichobaki na wanaume kupata hedhi.😂😂😂
Kwani kilichopandisha bei ya ardhi huko Kenya ni mipango miji? Achaga uzwazwa wewe.Mmkazania mipango miji mipango miji mnasahau kwamba Kenya viwanja ni bei ghalii mwananchi wa kawaida hawez kumiliki kiwanja Nairobi wakati dar ukiwa na milioni yako (50k) unaibuka chanika unajichakulia kiwanja chako unaanza kujenga alafu kuna jitu hapa linabwabwaja eti wakenya wametuzidi kwa mipango miji kwa au kwasababu umeona mi estate kibao ndio ukaona wametuzidi hapa bongo izo estate ukizijenga atakaa nani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeah, mwanza tunajua vizuri. The only town with one road that gets you in and out of the town.
The only town with one shopping mall.
The only town where airport looks like a godown.
Mwanza has no serious industries.
Economy ya Mwanza is less than that of Kisii.
Mwanza is the only town with pot holes in it's CBD.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Hakuna asiyejua mnaongoza kwa umaskini, kujisaidia ziwani na kuishi vichakani [emoji41]
Vibarabara vyembamba utadhan wanapita panya[emoji26]
Kwa kweli kwa barabara na mipango miji na kujali mazingira mnajitahidi,kongole.View attachment 1764303hope not to spoil the thread.. but ata nakuru pia ni mambo mbaya. achana na kenya. i ll tell u for free. naxvegas could be documented as kenya's 4th largest city.. but it still rival mwanza and arusha combined!..View attachment 1764304naxvegasView attachment 1764308View attachment 1764812View attachment 1764310View attachment 1764782View attachment 1764626View attachment 1764787View attachment 1764791View attachment 1764624View attachment 1764780View attachment 1764319View attachment 1764695View attachment 1764703
Sio tuu Arusha ,nje ya Dar hakuna Mji una barabara nzuri kuzidi miji ya Kenya.Unafki pembeni nakuru kwa barabara mko vizuri
I had to check to verify that's nakuru
Wazee hata arusha hatuna barabara kama za nakuru
NB: KWA NDUGU ZANGU WA MWANZA ITAWACHUKUA HADI MWAKA 3672 KUPATA BARABARA ZA HIVO[emoji1787][emoji1787]
Kuna maandazi mmoja aliniletea list yake kuniambia mwanza kuna flyover mbili zinajengwa nikamsamehe tu najua haelewi aliloongea[emoji41]
Acheni kujidanganya,here are the biggest airports in east Africa interms of passengers.Kia the fourth largest EA in eastern Africa in terms of passengers alafu mtu anaifananisha na local EA ya arusha
but i doubt if Bole is ahead of Jkia. acha nifanye utafiti, ntarejea hivi punde..Acheni kujidanganya,here are the biggest airports in east Africa interms of passengers.
1. Bole airport - 12M
2. JKIA - 8M
3. JNIA -2.5M
4. Entebbe 1.8M
5. Mombasa -1.5M
My Bole sio mchezo, it will JKIA sometime to overtake bole.but i doubt if Bole is ahead of Jkia. acha nifanye utafiti, ntarejea hivi punde..
SafiKwa kweli kwa barabara na mipango miji na kujali mazingira mnajitahidi,kongole.
Huku sasa utakuta Tanroads wanadesign vibarabara vya hovyo,barabara zinapita katikati ya Mji lakini kuzifanya dualing wanashindwa Yaani ni shida tupu
naona umejaribu sana kuisifu tz. ok. kenya inaweza kuwa 80% jangwa. tz ina minerals mengi tu. 60% ya ziwa iko tz. lakini mbona tena nchi lenye jangwa inaizidi nchi yenye resources ×2 kiuchumi na miundo mbinu..?🤔 yatafakari hayo😂😂😂mndazi na dyfre na wapumbavu wakenya wengine sisi watanzania hatufanyi vitu au kutengezeza vitu ili tuwafurahishe wakenya au watu wengine.Tunafanya au kutengeneza vitu ili kukizi mahitaji ya watanzania nakuwapa watanzania raha ndo maana Mwanza ina Mameli mengi makubwa kuliko kenya Nzima wala siwezi kuwasema kwa hilo kwasababu ziwa victoria lenyewe wanamili 5%.Tanzania ndio inaongoza kwa madaraja marefu na mazuri nalo hili siwezi kuwasemea kwababu 80% ya kenya ni jangwa sasa hayo madaraja watayajenga wapi.Mwanza ndo jiji linaongoza kwa mineral refinery kenya hawa hata moja nalo hili siwezi kwani kenya hata machimbo ya chumvi hawana.Itakuwa mwendawazimu kuuliza flyover Mwanza wakati kuna mabarabara yanapasua milima.😂😂😂😂kaeni kimya kila mtu ashinde mechi zake...tusichoshane vichwa endeleni na lockdown na chanjo zenu japokuwa naskia zimewabadilishia mfumo wa hedhi,sasa kilichobaki na wanaume kupata hedhi.😂😂
Ngoja tuwasubiri ndugu zangu wa mwanzaAcheni kujidanganya,here are the biggest airports in east Africa interms of passengers.
1. Bole airport - 12M
2. JKIA - 8M
3. JNIA -2.5M
4. Entebbe 1.8M
5. Mombasa -1.5M