Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Kia the fourth largest EA in eastern Africa in terms of passengers alafu mtu anaifananisha na local EA ya arusha
Alafu anatokea zwazwa mmoja wa ziwani akidhani arusha haitumii kia kwa international flights😥 au mnajua kia iko chato🤣🤣
Mind you kia is only 40 kms from arusha cbd
Thanks for appreciating kia na si hio airport ya kubeba mbuzi😉
 
View attachment 1764303hope not to spoil the thread.. but ata nakuru pia ni mambo mbaya. achana na kenya. i ll tell u for free. naxvegas could be documented as kenya's 4th largest city.. but it still rival mwanza and arusha combined!..View attachment 1764304naxvegasView attachment 1764305View attachment 1764308View attachment 1764310View attachment 1764624View attachment 1764626View attachment 1764319View attachment 1764695View attachment 1764703
Unafki pembeni nakuru kwa barabara mko vizuri
I had to check to verify that's nakuru
Wazee hata arusha hatuna barabara kama za nakuru
NB: KWA NDUGU ZANGU WA MWANZA ITAWACHUKUA HADI MWAKA 3672 KUPATA BARABARA ZA HIVO🤣🤣
Kuna maandazi mmoja aliniletea list yake kuniambia mwanza kuna flyover mbili zinajengwa nikamsamehe tu najua haelewi aliloongea😎
 
shukran za dhati ndugu yangu 👊
 
Watanzania itabidi mumekuja Bench marking Kenya. Kisumu ni ya tatu lakini imeshinda Mwanza mji wa pili Tanzania. Mwanza linganisha na Eldoret[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kisumu is my favourite place in Kenya. God bless and keep this city.
 
Kisumu is my favourite place in Kenya. God bless and keep this city.
😂😂😂mndazi na dyfre na wapumbavu wakenya wengine sisi watanzania hatufanyi vitu au kutengezeza vitu ili tuwafurahishe wakenya au watu wengine.Tunafanya au kutengeneza vitu ili kukizi mahitaji ya watanzania nakuwapa watanzania raha ndo maana Mwanza ina Mameli mengi makubwa kuliko kenya Nzima wala siwezi kuwasema kwa hilo kwasababu ziwa victoria lenyewe wanamili 5%.Tanzania ndio inaongoza kwa madaraja marefu na mazuri nalo hili siwezi kuwasemea kwababu 80% ya kenya ni jangwa sasa hayo madaraja watayajenga wapi.Mwanza ndo jiji linaongoza kwa mineral refinery kenya hawa hata moja nalo hili siwezi kwani kenya hata machimbo ya chumvi hawana.Itakuwa mwendawazimu kuuliza flyover Mwanza wakati kuna mabarabara yanapasua milima.😂😂😂😂kaeni kimya kila mtu ashinde mechi zake...tusichoshane vichwa endeleni na lockdown na chanjo zenu japokuwa naskia zimewabadilishia mfumo wa hedhi,sasa kilichobaki na wanaume kupata hedhi.😂😂😂
 
Ila wa-respect Mwanza's economic power in the Lake Victoria basin!
 
Mmkazania mipango miji mipango miji mnasahau kwamba Kenya viwanja ni bei ghalii mwananchi wa kawaida hawez kumiliki kiwanja Nairobi wakati dar ukiwa na milioni yako (50k) unaibuka chanika unajichakulia kiwanja chako unaanza kujenga alafu kuna jitu hapa linabwabwaja eti wakenya wametuzidi kwa mipango miji kwa au kwasababu umeona mi estate kibao ndio ukaona wametuzidi hapa bongo izo estate ukizijenga atakaa nani
Kwani kilichopandisha bei ya ardhi huko Kenya ni mipango miji? Achaga uzwazwa wewe.

Huku Bongo watu wanakuwa na ardhi yao serikali inaipima na kuweka matumiz na mwenye ardhi anapata viwanja kadhaa au ikiuzwa wanagawana na Serikali

Kinacholalamikiwa ni upimaji hafifu na dhana ya kijinga ya kuona wenye pesa ndio wanapaswa kuishi kwenye plots na wanyonge kwenye squatters,matokeo yake miji ya Tzn ni hovyo na ya kutia aibu
 
Yeah, mwanza tunajua vizuri. The only town with one road that gets you in and out of the town.
The only town with one shopping mall.
The only town where airport looks like a godown.
Mwanza has no serious industries.
Economy ya Mwanza is less than that of Kisii.
Mwanza is the only town with pot holes in it's CBD.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kweli kwa barabara na mipango miji na kujali mazingira mnajitahidi,kongole.

Huku sasa utakuta Tanroads wanadesign vibarabara vya hovyo,barabara zinapita katikati ya Mji lakini kuzifanya dualing wanashindwa Yaani ni shida tupu
 
Unafki pembeni nakuru kwa barabara mko vizuri
I had to check to verify that's nakuru
Wazee hata arusha hatuna barabara kama za nakuru
NB: KWA NDUGU ZANGU WA MWANZA ITAWACHUKUA HADI MWAKA 3672 KUPATA BARABARA ZA HIVO[emoji1787][emoji1787]
Kuna maandazi mmoja aliniletea list yake kuniambia mwanza kuna flyover mbili zinajengwa nikamsamehe tu najua haelewi aliloongea[emoji41]
Sio tuu Arusha ,nje ya Dar hakuna Mji una barabara nzuri kuzidi miji ya Kenya.

Kitu kizuri kwao wanajenga barabara nzuri na zenye hadhi kwenye miji yao yaani kwa Bongo ni Dar labda na Dom ,miji yetu mingine ni hovyo

Ifike mahara tujifunze na kuiga mambo mazuri
 
Acheni kujidanganya,here are the biggest airports in east Africa interms of passengers.
1. Bole airport - 12M
2. JKIA - 8M
3. JNIA -2.5M
4. Entebbe 1.8M
5. Mombasa -1.5M
but i doubt if Bole is ahead of Jkia. acha nifanye utafiti, ntarejea hivi punde..
 
Kwa kweli kwa barabara na mipango miji na kujali mazingira mnajitahidi,kongole.

Huku sasa utakuta Tanroads wanadesign vibarabara vya hovyo,barabara zinapita katikati ya Mji lakini kuzifanya dualing wanashindwa Yaani ni shida tupu
Safi
Watoto maskini wa mwanza wanakitu kinaitwa inferiority complex😥
Wanadhan ukimsifia mwenzako unakua weak
Truth be said wakenya wako vizuri kwa infrastructurers na general investments na hiyo ni fact sio myths
Kama ambavyo mwanza inaongoza kwa umaskini hiyo ni fact
Sasa maskini anapenda tukose wote 🤣🤣
 
😂😂😂mndazi na dyfre na wapumbavu wakenya wengine sisi watanzania hatufanyi vitu au kutengezeza vitu ili tuwafurahishe wakenya au watu wengine.Tunafanya au kutengeneza vitu ili kukizi mahitaji ya watanzania nakuwapa watanzania raha ndo maana Mwanza ina Mameli mengi makubwa kuliko kenya Nzima wala siwezi kuwasema kwa hilo kwasababu ziwa victoria lenyewe wanamili 5%.Tanzania ndio inaongoza kwa madaraja marefu na mazuri nalo hili siwezi kuwasemea kwababu 80% ya kenya ni jangwa sasa hayo madaraja watayajenga wapi.Mwanza ndo jiji linaongoza kwa mineral refinery kenya hawa hata moja nalo hili siwezi kwani kenya hata machimbo ya chumvi hawana.Itakuwa mwendawazimu kuuliza flyover Mwanza wakati kuna mabarabara yanapasua milima.😂😂😂😂kaeni kimya kila mtu ashinde mechi zake...tusichoshane vichwa endeleni na lockdown na chanjo zenu japokuwa naskia zimewabadilishia mfumo wa hedhi,sasa kilichobaki na wanaume kupata hedhi.😂😂
naona umejaribu sana kuisifu tz. ok. kenya inaweza kuwa 80% jangwa. tz ina minerals mengi tu. 60% ya ziwa iko tz. lakini mbona tena nchi lenye jangwa inaizidi nchi yenye resources ×2 kiuchumi na miundo mbinu..?🤔 yatafakari hayo
 
Back
Top Bottom