Kisumu vs Mwanza

Now see how your shipyard is pathetic. Kama sio vumbi then ni matope, kama sio matope ni misitu๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡

MV Mwanza Hapa Kazi Tu U/C

VS

MV Uhuru II U/C

MY TAKE
The day Kunyaland itakuwa na modern ship kama Mv Mwanza, hell will break loose!

CC: Tony254, Kafrican n Teargas
My take. Tengenezeni shipyard bana, Mambo ya kuunda meli desert na misitu tuachane nayo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Now see how your shipyard is pathetic. Kama sio vumbi then ni matope, kama sio matope ni misitu๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡

My take. Tengenezeni shipyard bana, Mambo ya kuunda meli desert na misitu tuachane nayo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Shipyard(cherezo) ilishajengwa kitambo sana tena kwa bilion 38, na ndio shipyard kubwa kuliko zote ukanda wa maziwa makuu, shipyard ilipoisha ndio wakaanza ujenzi wa meli pamoja na ukarabati wa meli mbalimbali, Mwanza sio size yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ