Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu tuonyeshe hiyo shipyard unaongelea[emoji1787][emoji1787]Shipyard(cherezo) ilishajengwa kitambo sana tena kwa bilion 38, na ndio shipyard kubwa kuliko zote ukanda wa maziwa makuu, shipyard ilipoisha ndio wakaanza ujenzi wa meli pamoja na ukarabati wa meli mbalimbali, Mwanza sio size yenu.
Ebu tuma mfano wa shipyard unayoijua wewe ambayo ipo Kenya.Ebu tuonyeshe hiyo shipyard unaongelea[emoji1787][emoji1787]