Kisumu vs Mwanza

Mi niliishi Nyalenda Kisumu ni kubwa na imeendelea mno kuliko Mwz acheni kabisa kuilinganisha na Mwz
Miji mingi ya Kenya nimefika (Migori, Kisii, Kisumu, Naroku Naivasha, Nakuru NAIROBI na Mombasa) wenzetu wapo mbali kwa kila tu. Kasoro ya huko kote ni vyakula hovyo na malazi hayaendani na hela uitayo.
 
Hayo maeneo nimefanya kazi ya kusimamia mizigo inapakiliwa kwenda Mwz (THOR, OLION, SATNAM, FB CHACHA na kifelly cha mzee MATATA (magnum) KIVILA PUNDA
Nikiwa na mzee KALUMANGA clearing
 
Ukiwa umefika sehemu zote inakuwa rahisi mno kulinganisha huo mpambano
Japo nadhani kwetu ni somo kuwa wao tayari washafanya sisi tunapaswa kufanya vizuri kuliko wao ili kuwazidi katika uzuri na ubora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…