Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Mwanza na hizo takataka zingine huwezi linganisha na Kisumu. Waambie wakuonyeshe Skyline na barabara za Mwanza uone miujaza.
Siku Mwanza itafika hapa tag me[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]View attachment 1268827View attachment 1268831View attachment 1268833View attachment 1268834View attachment 1268837
Subutu..wakileta nitag
 
Yani nimecheka sana[emoji1787][emoji1787]
What are "international planes"? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi zimetengenzwa aje?
Hapo nilichomaanisha kiko wazi.....nimesema hivyo kumaanisha zile zinazotoka nchi mbalimbali....mmeona hapo ndo pakukazia ili mdeviate kwenye ukweli[emoji3]...hiyo hoja hamjaipinga..,inaonekana kuna ukweli hivi..eti
 
Okay Mr. "international planes". Just in case you didn't know, AirKenya has direct flights between kisumu and Entebe. I hope that's also "international planes" 😂 😂
 
Okay Mr. "international planes". Just in case you didn't know, AirKenya has direct flights between kisumu and Entebe. I hope that's also "international planes" [emoji23] [emoji23]
Also kuna direct flights kati ya Mwanza na Nairobi...tofauti ipo wapi hapo...au labda niulize kwa kiswahili,hivi kuna ndege yoyote kubwa ya kimataifa kama QA imewahi fanya kazi uwanja wa ndege wa kisumu?
 
So ni lazima iwe QA ndio iwe international?
 
Also kuna direct flights kati ya Mwanza na Nairobi...tofauti ipo wapi hapo...au labda niulize kwa kiswahili,hivi kuna ndege yoyote kubwa ya kimataifa kama QA imewahi fanya kazi uwanja wa ndege wa kisumu?
Ni flights gani hizo hutoka Nairobi to Mwanza? Ju hata ndege zenu Bado Nairobi hazifiki na bado zinahangaika kufika Kampala.
Then Nataka utuletee areal view ya Mwanza we compare the residential zones of the two Cities.
#Kisumu City [emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]
FB_IMG_15744385813764116.jpeg
FB_IMG_15744390002372649.jpeg
 
Attachments

  • 1574446481211_adobe.jpeg
    1574446481211_adobe.jpeg
    53.4 KB · Views: 3
Ni flights gani hizo hutoka Nairobi to Mwanza? Ju hata ndege zenu Bado Nairobi hazifiki na bado zinahangaika kufika Kampala.
Then Nataka utuletee areal view ya Mwanza we compare the residential zones of the two Cities.
#Kisumu City [emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]View attachment 1269416View attachment 1269417
Mwanza-erial-2.jpeg
tapatalk_1574294685391.jpeg

Residents zipo back ground nikipata picha nzur ntaweka
 
So what? That space was taken by Tuskys long time ago. They now have two branches in kisumu with plans to open a third one at Lakeside Basin Mall. Unasumbuka kweli
 
Hapo nilichomaanisha kiko wazi.....nimesema hivyo kumaanisha zile zinazotoka nchi mbalimbali....mmeona hapo ndo pakukazia ili mdeviate kwenye ukweli[emoji3]...hiyo hoja hamjaipinga..,inaonekana kuna ukweli hivi..eti
Ku divert nn wakati umechemsha,
Unajua maana ya international airport kwanza?
 
Back
Top Bottom