Kisumu vs Mwanza

Mrs Bagamoyobado unakazana tu.….Fact remains Mwanza is a baby compared to Kisumu city.....Jengeni miji acha utoyoyo
Ni Kama mlevi vile hujisifu Yuko na pesa lakini wapi Hana kitu.
 
Kumbe hili jambo ni kweli....traffic lights..... Kwa hiyo matrafiki wenu wanasimama kila junction kuongoza magari...😫
Ndio nikamwambia mwenzako Dar es salaam ikifikia hadhi ya barabara za Kisumu aje tujadili traffic lights. Si unaona hajanijibu Hadi Sasa...Sindano ilimwingia vizuri.
 
Ni Kama mlevi vile hujisifu Yuko na pesa lakini wapi Hana kitu.
The projects Mwanza alone has launched can not be found in the whole of Kenya! I mean it nowhere to be seen in the whole of Kenya;

Miradi Mwanza
BTW JPM kazindua miradi ya zaidi ya Tshs 800 bln ila ukijumlisha miradi ya upanuzi wa hospitali mbili Seko Toure na ya wilaya ya Nyamagana iliyozinduliwa na Rais Shein na Makamo wa Rais Mama Samia na ule wa Waziri Mkuu Majaliwa wa uwanja wa ndege (cargo, passengers terminals plus runway extension) JPM na serikali yake imezindua miradi isiyopungua $500 mln Mwanza alone! Hapo miradi ya Hospitali ya Mara Kwangwa na ya wilaya ya Chato haijaguswa. Ule uwanja wa Chato pia haujaguswa!








 
If Launching projects was to be considered development then you guys beat Kenya long time ago eg Bagamoyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…