Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

SEZ/PEZ together with dry port r parrarel on the works mzee have patience! For now we need to even build more wagon ferries for Uganda cargo! We need at least five to prepare for SGR completion n avoidance of long waiting times!
Yes....kweli Wagon ferry ni muhimu..sana kwa sasa ..zikiwepo hata 2-3 za kuanzia...mzgo haulali..ukifika within48 -72hrs uko UG ..baada ya kutoka dar port

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes....kweli Wagon ferry ni muhimu..sana kwa sasa ..zikiwepo hata 2-3 za kuanzia...mzgo haulali..ukifika within 20-24 hrs uko UG ..baada ya kutoka dar port

Sent using Jamii Forums mobile app
Actually zinahitajika zaidi angalia zaidi ya Port Bell, bandari za Mwanza, Musoma na Kagera zote zinahudumia wagon ferries na kutoka Mwanza hadi Port Bell ni masaa sita sasa SGR ikianza kwa siku lazma kuwe na trip zisizopungua nne za kwenda na nne za kurudi! Hapo hujaongelea routes za Musoma na Bukoba.
 
Hivi runway lights za Kisumu airport zimepona?

Naxvegas254 Kafrican Depay Zigi Rizla n Edward Wanjala

Mambo ya Kisumu huyawezi so keep quiet.
tamale-airprot-back.jpg
 
SEZ/PEZ together with dry port r parrarel on the works mzee have patience! For now we need to even build more wagon ferries for Uganda cargo! We need at least five to prepare for SGR completion n avoidance of long waiting times!
Naona sasa mmeanza kushustushwa na miradi ya kenya...lazima mfuate tu hamna budi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom