Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Wakati anahangaika na njia tatu, ngoja niende Waghil Luchelele Mwanza
Screenshot_20191212-174458_Gallery.jpeg
20191212_174652.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
lazima umeingia JF jana….Mwanza was beaten hands down by both Eldoret and Nakuru let alone Kisumu...….In short my friend Danganyika does not have any cities apart from one Primate slum called Dar is a slum
Hata Garissa inaipiga mwanza kwa maneno
 
Meli nyingine ya kubeba kontena 50 kuanza ujenzi baada ya hii mpya inayojengwa sasa yenye urefu wa mita 90 na uwezo wa tani 400 za mizigo



Sent using Jamii Forums mobile app

Aisee January tender inatangazwa? Hii maneno ni habari mbaya sana kwa jirani! Wagon ferry ya Makontena 50 ina maana kubwa mara mbili ya iliyopo! Hamna maana kujenga SGR toka Malaba! Not viable kabisa! Magufuli ana makusudi...! Sinister, Edward Wanjala, Kafrican Zigi Rizla, Teargass n Depay vp Mchina atatoa Mkopo wa SGR Naivasha-Malaba? Ikumbukwe JPM kaagiza tender ya SGR Mwanza-Isaka itangazwe!



Wakati kule Nrb kuna vita ya BBI na wana tangatanga! Wabunge wa Jubilee wamegawanyika main 2 principals hawasikilizani.

Jamaa wa Monitor washaona kinachoendelea baada ya Burundi, Rwanda n DRC kenda central corridor ! 😀 😀 😀 😀 🤣 🤣 🤣

 
Vp Malaba watatoboa mbele ya JPM? Maana Uhuru is fighting his legacy saahii big four agenda is derailed while BBI is poison to Ruto who his mind is all set for 2022. By the time any meaningful decision is made it will have to be by the incoming President after Uhuru!
Sidhani kama kuna mpango wa kwenda Malaba tena, hawana hela.
Isitoshe kwenda Malaba ni kumpaisha Ruto ambaye wameshatofautiana. Mwelekeo uliopo ni kuelekea Kisumu na nguvu kubwa wanajaribu kuwekea huko kwa Raila.

Uganda hawawezi kuingia mkenge wa gharama kubwa kujenga segmented Rail wakati SGR iko inakuja Mwanza,Pia kuna uwezekano mkubwa Uganda wakaunganisha reli yao na kutokea Tanzania count my words utaona.

Hii maana yake Juba nayo tutaanza kuihudumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama kuna mpango wa kwenda Malaba tena, hawana hela.
Isitoshe kwenda Malaba ni kumpaisha Ruto ambaye wameshatofautiana. Mwelekeo uliopo ni kuelekea Kisumu na nguvu kubwa wanajaribu kuwekea huko kwa Raila.

Uganda hawawezi kuingia mkenge wa gharama kubwa kujenga segmented Rail wakati SGR iko inakuja Mwanza,Pia kuna uwezekano mkubwa Uganda wakaunganisha reli yao na kutokea Tanzania count my words utaona.

Hii maana yake Juba nayo tutaanza kuihudumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani as if unasoma kichwa changu! JPM huwa hakopeshi when an opportunity like this presents itself! Kumbuka mabishano ya Uganda pipeline lipite Mombasa ama Lamu !😀 😀 😀
 
Government to build another cargo ship in Lake Victoria
ippmedia.com/en/news/government-build-another-cargo-ship-lake-victoria

December 13, 2019
13Dec 2019
Correspondent
Mwanza
News
The Guardian
Government to build another cargo ship in Lake Victoria
THE government plans to construct a cargo ship with the capacity to carry 50 tonnes (supposed to read 50 wagons) to only ply in Lake Victoria, according to Chief Executive Officer of the state-owned Marine Services Company Limited (MSCL), Eric Hamissi.

victoria%20ed.jpg

Eric Hamissi
The water body is shared by Tanzania, Uganda as well as Kenya with more than half of it being occupied by Tanzania in proportionality followed by Uganda.

Hamisi said tender for the construction work will be announced next month. He said that currently, MSCL owns a wagon ferry—Mv Umoja that has a carrying capacity of 19 tonnes of wagons (supposed to read 19 wagons).

Hamissi made the statement here yesterday when briefing members of the ruling party's central committee who visited various projects implemented by MSCL in Mwanza city.

He informed that the government also plans to build another cargo ship that will be plying in Lake Tanganyika. He said the new ship is expected to dominate cargo transportation within East and Central African region as Tanzania is bordered by almost all inland water bodies in the area.

“These cargo ships will ease transportation within the country but also transfer cargos to neigbouring countries such as Democratic Republic of Congo (DRC). We expect to earn a lot from the businesses,” he noted.

He pointed out that company's ships can make good business by transporting cotton seed cake from Tanzania to Uganda and other countries and at the same time come back with iron sheets from Uganda.

According to him, the company also anticipates to have a ship to tap marine tourism potential as the industry is one of the sources of the country's economic drivers.
“We have not properly used our marine potentials to promote tourism in the country.

We should have at least one ship for the purpose,” he said adding that it is high time the country exploits the opportunities for economic development.

He noted that the company should go beyond and serve as a serious player in promoting tourism industry in the country in its operations.

The CEO revealed that the state-owned company is working on a plan to start ship operations in the Indian Ocean between Tanzania and Comoros to tap the opportunity of transporting goods from Comoros to other countries within East Africa.

Comoros is closer to Tanzania ports than the ports in Mombasa, Kenya and Durban in South Africa, he said.
 
Back
Top Bottom