Kisumu vs Mwanza

Zanzibar inajumuisha visiwa viwili Unguja na Pemba, sasa na wewe tafuta huko ujue either Zanzibar city iko Unguja au Pemba! na ndio mji uliobeba jina la muunganiko wa hivyo visiwa viwili, inaonekana walimu wako walipata tabu sana
Zanzibar ni city, halafu hyo hyo zanzibar city iko na city yake(stone town)[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hahaha! ndio nakuambia walimu wako walipata tabu sana nahisi kuku fundisha [emoji117]1+1=2,maana naona kama ulikuwa una lazimisha iwe [emoji117]1+1=11
Hebu nifundishe kidogo,
Mbna cecafa sikuona timu inayojiita mwanza(city) lkn zanzibar "city" ilikuwepo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…