Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Hakuna nchi inaitwa Zanzibar ndugu labda muungano ufe...kwan ukisikia Zanzibar city unaelewa nn?
Remember tunaangalia inavyochuliwa na taasisi za kimataifa
Zanzibar is a semi-autonomous region in Tanzania with its own predident and a parliament. How then do you say it's not a Country? It's like saying Scotland or Wales are not countries just because they are part of the United Kingdom
 
Sawa baki na mawazo yako
 
hao mbona wanajenga mdogo, yaan huku hutapewa pongezi eti kwa kuwa unaishi kwenye apartment nzuri umepanga, what matters is to have your own house
Kumaanisha every Dar or mwanza resident anamiliki nyumba? Enda ukawadanganye watoto wa chekechea hukooooo!
 
Kibera yote ni ardhi ya serikali as well as many other slums. Naamini Jibu umeshapata
Kama ni ardhi ya serikali sasa mtu ana anzaje kuweka mabanda yake and almost kila city na town lazima kuna hizo slums, au serikali ilitenga hayo maeneo kwa kila mji ili walala hoi wajenge vibanda vya kujihifadhi?😱au ni kwa ajili ya utalii?
 
Kumaanisha every Dar or mwanza resident anamiliki nyumba? Enda ukawadanganye watoto wa chekechea hukooooo!
Ivi huwez kutumia vizuri halmashauri ya ubongo wako na kuelewa kuwa kilichokuwa kinalegwa hapo ni kila mtu huku hufight kujenga nyumba yake unlike you Kenyan guys mnaojiona mko juu kupanga kwenye hizo hostels 😰, na huko nazani mkiachwa kujenga nyumba yake kila mtu ndio mnaenda kujenga kwenye slums!!!
 
Kama ni ardhi ya serikali sasa mtu ana anzaje kuweka mabanda yake and almost kila city na town lazima kuna hizo slums, au serikali ilitenga hayo maeneo kwa kila mji ili walala hoi wajenge vibanda vya kujihifadhi?😱au ni kwa ajili ya utalii?
Sasa unataka kupingana na uhalisia wa mambo ama? Kibera is government land and that's why it was easier for the government to start slum upgrading project in the area coz there was no compensation required. Hata hii leo serikali ukisema watu wasome kibera hakuna mtu atakataa kwa sababu hiyo ardhi si yao
 
Ivi huwez kutumia vizuri halmashauri ya ubongo wako na kuelewa kuwa kilichokuwa kinalegwa hapo ni kila mtu huku hufight kujenga nyumba yake unlike you Kenyan guys mnaojiona mko juu kupanga kwenye hizo hostels 😰, na huko nazani mkiachwa kujenga nyumba yake kila mtu ndio mnaenda kujenga kwenye slums!!!
Swala la watu kumiliki nyumba hata Nairobi ipo. Hizo apartments mnazoona zimejaa Nairobi nyingi sana ni za kuuzwa na ni wakenya wanazinunua so don't talk about home ownership. The only difference is that you build your houses (the infamous dream houses) kiholela holela bila mpangalio while in Kenya it's done with strict planning. The result is that mko na uswazi kila kona kwenye miji zenu jambo ambalo halipo Kenya kwa sababu watu wanafuata sheria za ujenzi na mipango
 
UOTE="Nicxie, post: 33879264, member: 439796"]
Sasa unataka kupingana na uhalisia wa mambo ama? Kibera is government land and that's why it was easier for the government to start slum upgrading project in the area coz there was no compensation required. Hata hii leo serikali ukisema watu wasome kibera hakuna mtu atakataa kwa sababu hiyo ardhi si yao
Ndio ujue kuwa most of you Kenyans hamna uwezo wa kununua viwanja na kujenga nyumba zenu na ndio maana watu walivamia tu maeneo ya serikali na matokeo yake ni uncountable slums throughout the country
[/QUOTE]
Kibera is 2.5 square kilometres. Nairobi is 500 square kilometres. Kama wakenya hawana uwezo wa kununua ardhi hao wengine wanaomiliki ardhi nje ya kibera walipewa hiyo ardhi kama zawadi? Wacha kutumia ubongo kama bakuli
 
Swala la watu kumiliki nyumba hata Nairobi ipo. Hizo apartments mnazoona zimejaa Nairobi nyingi sana ni za kuuzwa na ni wakenya wanazinunua so don't talk about home ownership. The only difference is that you build your houses (the infamous dream houses) kiholela holela bila mpangalio while in Kenya it's done with strict planning. The result is that mko na uswazi kila kona kwenye miji zenu jambo ambalo halipo Kenya kwa sababu watu wanafuata sheria za ujenzi na mipango
Wewe lete makazi ya watu tofauti na hizo hostels (apartments) usidanganye watu hapa
 
Wewe unaishi Mwananyamala kwa kopa mimi naishi Nairobi sasa kati yangu na wewe nani anajua ukweli kuhusu Nairobi?
 
Back
Top Bottom