komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Yani kenya ukitoka nje ya slums sahau kabisa kukutana na kitu kibovu...Mweee!!... Ati nan anajengewa na serikali....huku watu wanajenga nyumba bora kwa gharama zao.....cheki kwenye hizo aerial photos utaziona...huko ninyi ndo mmekomaa na estates hadi mnaweka picha zake humu na si modern estates ka zetu... Huko kwenu wengi wana makazi duni.... Kiufupi mna hali mbaya kwa upande wa housing... Pambaneni mtoke huko...
Ukwel mnaujua lkn kiburi tu, hku sio km hko kila mahali watu wanajenga ovyo tu...
Narudia tena, kenya ukishatoka nje ya slums tu utaona hay kupiga picha km mwenzenu ichoboy alivyofanya alipoenda kisumu na nairobi..aliogopa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app