Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Mweee!!... Ati nan anajengewa na serikali....huku watu wanajenga nyumba bora kwa gharama zao.....cheki kwenye hizo aerial photos utaziona...huko ninyi ndo mmekomaa na estates hadi mnaweka picha zake humu na si modern estates ka zetu... Huko kwenu wengi wana makazi duni.... Kiufupi mna hali mbaya kwa upande wa housing... Pambaneni mtoke huko...
Yani kenya ukitoka nje ya slums sahau kabisa kukutana na kitu kibovu...
Ukwel mnaujua lkn kiburi tu, hku sio km hko kila mahali watu wanajenga ovyo tu...

Narudia tena, kenya ukishatoka nje ya slums tu utaona hay kupiga picha km mwenzenu ichoboy alivyofanya alipoenda kisumu na nairobi..aliogopa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kwani sio kisumu 👇
DNHousingKisumu2101e.jpg
 
Yani kenya ukitoka nje ya slums sahau kabisa kukutana na kitu kibovu...
Ukwel mnaujua lkn kiburi tu, hku sio km hko kila mahali watu wanajenga ovyo tu...

Narudia tena, kenya ukishatoka nje ya slums tu utaona hay kupiga picha km mwenzenu ichoboy alivyofanya alipoenda kisumu na nairobi..aliogopa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Twanga photoo....
 
Back
Top Bottom