Kisumu vs Mwanza

Kwn kw estates watu huaga hawamiliki hzo nyumba...
Unafikiria hzo ni nyumba za NHC tanzania unakodi tu mwanzo mwisho...
Hku ukijiskia unainunua kabisa na inakua ya kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumiliki wanamiliki.... Hata bongo,watumishi housing wanajenga nyumba zao na kuuza...
Lakini hizi nyumba zinajengwa na mashirika au kampuni za watu binafsi...halafu baadaye wanazipangisha au kuziuza kwa watu.... Japo hao ndugu zako wanabisha kana kwamba mi mgeni kwenye hili....
 
Kenya kuna estates kibao kila mtu kajijengea, mfano km nyali..
Hku sio lazima mashirika au serikali ndio eti estate iwepo...kw mfano:
Angalia sehemu km utange(bamburi) zamani kulikua ni msitu lkn kw sasa jamaa wamepanunua na kupaendeleza hku makampuni nayo pia hayakusazwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • images.jpeg-5.jpeg
    36.2 KB · Views: 1
If it is so,mwanza inazo za kutosha
 
Hahaha unaambiwa wana estates mji mzima...
Kenya ukitoka slums huwez kuta makaazi mabovu, ndio manake watanzania wakija kenya hukimbilia kupiga picha slums...
Nje ya slums kenya utashangaa ferry, kumepangika hatari...

Sio km hko kwenu unakuta mansion, bungalow, uswazi, kibanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…