Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Kwn kw estates watu huaga hawamiliki hzo nyumba...
Unafikiria hzo ni nyumba za NHC tanzania unakodi tu mwanzo mwisho...
Hku ukijiskia unainunua kabisa na inakua ya kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumiliki wanamiliki.... Hata bongo,watumishi housing wanajenga nyumba zao na kuuza...
Lakini hizi nyumba zinajengwa na mashirika au kampuni za watu binafsi...halafu baadaye wanazipangisha au kuziuza kwa watu.... Japo hao ndugu zako wanabisha kana kwamba mi mgeni kwenye hili....
 
Kenya kuna estates kibao kila mtu kajijengea, mfano km nyali..
Hku sio lazima mashirika au serikali ndio eti estate iwepo...kw mfano:
Angalia sehemu km utange(bamburi) zamani kulikua ni msitu lkn kw sasa jamaa wamepanunua na kupaendeleza hku makampuni nayo pia hayakusazwa
images.jpeg-5.jpeg
9629822.jpeg
CBarddGUcAAVOus.jpeg
crgwuyyz7b3f5kxjuz2nzqaqni.jpeg.jpeg
images.jpeg-4.jpeg
Crop237x198.jpeg.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • images.jpeg-5.jpeg
    images.jpeg-5.jpeg
    36.2 KB · Views: 1
Kenya kuna estates kibao kila mtu kajijengea, mfano km nyali..
Hku sio lazima mashirika au serikali ndio eti estate iwepo...kw mfano:
Angalia sehemu km utange(bamburi) zamani kulikua ni msitu lkn kw sasa jamaa wamepanunua na kupaendeleza hku makampuni nayo pia hayakusazwaView attachment 1305839View attachment 1305840View attachment 1305841View attachment 1305842View attachment 1305844View attachment 1305845

Sent using Jamii Forums mobile app
If it is so,mwanza inazo za kutosha
 
Back
Top Bottom