Kisumu vs Mwanza

Unaleta data za jf kweli una kituko, maisha ya Tz very simple unlike you guys, mna tabu sana!!
 
Is this absolute poverty...?
 
The Largest Lake Islands In The World
RankLake IslandLocationArea (in square km)
1Manitoulin IslandLake Huron, Canada2,766
2René-Levasseur IslandManicouagan Reservoir, Canada2,000
3SoisaloKallavesi, Suvasvesi, Kermajärvi, Ruokovesi, Haukivesi and Unnukka, Finland1,638
4OlkhonLake Baikal, Russia730
5Isle RoyaleLake Superior, United States541
6Ukerewe IslandLake Victoria, Tanzania530
7St. Joseph IslandLake Huron, Canada365
8Drummond IslandLake Huron, United States347
9IdjwiLake Kivu, Democratic Republic of the Congo285
10Ometepe IslandLake Nicaragua, Nicaragua276

 
Hadi ndege zao wanaziandika ngorongoro crater.... Nasikia hadi kuna bidhaa zao wanaziandika made in tz ili zipate urahisi wa kuingia Afrika Kusini...kutembelea nyota za watu ndo zao... Na ngoja hizo bidhaa tuzibambe,watatuambia.
Story za vijiwwni bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifundishwa na walimu watatu kutoka Kenya miaka kumi ilopita, nakuambia walikuwa hawataki kabisa kurudi Kenya
Hao walianguka hku...wengine walifanya visanga wakafutwa au hta retired...

Bongo hta wale form 4 wa mwaka jana anafundisha tu...
Kwn mna elimu gani nynyi ya kuwatatiza form 4 leavers wa kenya mpka washindwe kuwafundisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…