Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 921
- 937
Wanakusumbua mzee baba yamekariri kinoma,Halafu kwanza mwanza ni milima mji umejengwa sehemu tofauti tofauti.... Hata aerial yake haiwezi chukua eneo kubwa vizuri..... Aliyewahi fika ndo atanielewa