Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Usisahau form4 wa kenya akija hko anaingia chuo kikuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Class8 wa huku pia vile vile ataingia form2, sasa wewe mlete class 7 wa bongo kenya km hakurudishwa mpka la tatu au la nne...

Jiulize kw nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hadi huku form 4 wanaingia vyuo..... Halafu form two wenu huko wanasoma yanayofundishwa la sita huku area, perimeter, volume....
Halafu form 4 wenu huko tulimpa pepa la necta engineering scienceform 4 chalii hahaha.... Form 4 wakenya hachomoi pure mathematics..... Hachomoi labda Basics atajitahidi...
 
Excuses, heheeeee!! Si hata sao paulo brazil pia si ni mlima mji, lkn mbna inachukulika picha freshi tu kutoka angani..

Au unataka kusema mwanza imejengeka hta kuliko dar kw ukubwa lkn milima ndio kizuwizi mpka majumba hayaonekani yakipigwa picha kutoka juu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwanza ikifika level ya mombasa nitag, lkn kw sasa siwezi jisumbua kuilinganisha mombasa na hicho kijiji

Sent using Jamii Forums mobile app
Sao Paulo hiyo hapo nionyeshe milima kwenye CBD 👇👇👇
sao-paulo.jpg
 
Wakija chuo vilaza tena 😁😁
Mkuu asikudanganye huyo... Hata sisi waweza maliza form 4 ukaingia chuo.... Huyo form 4 wao atachomoa labda maswali ya o'level.... Advance HACHOMOI😂😂😁....Anayebisha na aje
 
What is the gdp of Iringa you ignorant mind? Wako na fly over roads?., airport (international), port?, estates?., how many skyscrapers? Kisumu barara imelambisha Dar sasa kakijiji ka Iringa hiyo ni estate Kisumu (Lolwe/Kenya-Re/Migosi area),

Peleka ushamba mbali! Hata miaka 50 (hamsini) Iringa haiwezi toshana na Kisumu on all fronts!, Iringa ni estate tu ama shopping centre (yani ni soko tu)
Fungua Uzi Kisumu city vs Iringa town ili ujinga wako wa kukariri ukutoke
Tazama outskirts ya Kisumu (nje ya cbd) residential..Dar hapa haiwezi, kule ni unplanned settlements za kishamba!
[emoji116][emoji116][emoji116]
images-10.jpeg
images-9.jpeg
images-8.jpeg
images-6.jpeg
images-4.jpeg
images-1.jpeg
images-2.jpeg
images.jpeg
images-7.jpeg
images-11.jpeg
images-3.jpeg
images-5.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is the gdp of Iringa you ignorant mind? Wako na fly over roads?., airport (international), port?, estates?., how many skyscrapers? Kisumu barara imelambisha Dar sasa kakijiji ka Iringa hiyo ni estate Kisumu (Lolwe/Kenya-Re/Migosi area),

Peleka ushamba mbali! Hata miaka 50 (hamsini) Iringa haiwezi toshana na Kisumu on all fronts!, Iringa ni estate tu ama shopping centre (yani ni soko tu)Tazama outskirts ya Kisumu (nje ya cbd) residential..Dar hapa haiwezi, kule ni unplanned settlements za kishamba!
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1310978View attachment 1310984View attachment 1310985View attachment 1310986View attachment 1310987View attachment 1310988View attachment 1310989View attachment 1310990View attachment 1310991View attachment 1310992View attachment 1310993View attachment 1310995

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo umeonyesha nini😕outskirts za mji wowote Tz ni more planned, flyover zenyewe vichekesho tu. Tatizo la Kisumu ni moja; CBD ndogo kama iringa ndio maana sitaki kulinganisha hata na Dodoma
 
Mbona hadi huku form 4 wanaingia vyuo..... Halafu form two wenu huko wanasoma yanayofundishwa la sita huku area, perimeter, volume....
Halafu form 4 wenu huko tulimpa pepa la necta engineering scienceform 4 chalii hahaha.... Form 4 wakenya hachomoi pure mathematics..... Hachomoi labda Basics atajitahidi...
Form 4 wa kenya anaingia chuo popote pale dunia...
Unachezea KNEC wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu asikudanganye huyo... Hata sisi waweza maliza form 4 ukaingia chuo.... Huyo form 4 wao atachomoa labda maswali ya o'level.... Advance HACHOMOI[emoji23][emoji23][emoji16]....Anayebisha na aje
Form4 wa tanzania hawezi jiunga chuo kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akija huku anarudi form3, watanzania wanosome kenya kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is the gdp of Iringa you ignorant mind? Wako na fly over roads?., airport (international), port?, estates?., how many skyscrapers? Kisumu barara imelambisha Dar sasa kakijiji ka Iringa hiyo ni estate Kisumu (Lolwe/Kenya-Re/Migosi area),

Peleka ushamba mbali! Hata miaka 50 (hamsini) Iringa haiwezi toshana na Kisumu on all fronts!, Iringa ni estate tu ama shopping centre (yani ni soko tu)Tazama outskirts ya Kisumu (nje ya cbd) residential..Dar hapa haiwezi, kule ni unplanned settlements za kishamba!
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1310978View attachment 1310984View attachment 1310985View attachment 1310986View attachment 1310987View attachment 1310988View attachment 1310989View attachment 1310990View attachment 1310991View attachment 1310992View attachment 1310993View attachment 1310995

Sent using Jamii Forums mobile app
My friend you are too localized, uwe unachunguza kwanza ndio ujue kama hicho unachokiona kweli hakipo sehemu unayozani hakipo? 😇
 
Back
Top Bottom