Kisumu vs Mwanza

Unalazimisha kupingana na nature!! uje upige mwenyewe picha ya Mwanza CBD then cover sehemu zote na tuone clear images [emoji3][emoji41][emoji41]
Kama dunia huchukuliwa yote kwa picha moja kwani Mwanza ni kubwa kiasi cha Jupiter?

Ghasia stop glorifying your 2nd largest fishing village[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama dunia huchukuliwa yote kwa picha moja kwani Mwanza iko Jupiter.

Ghasia stop glorifying your 2nd largest fishing village[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkurupukaji mwingine huyu, kwa hiyo dunia inapochukuliwa kwenye picha moja huwa unaona vitu duniani clearly? i. e nyumba, etc au hujawahi kutumia Google Earth!! use your common sense bwana wengine mnachosha mbona mwenzenu Komora096 anajielewa 😇😬
 
Tupe picha kutoka angle zote,tuseme nne zikionyesha majengo tofauti tofauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni hivi, ukiwa upande wa mwanza south ukachukua picha ya CBD hutayaona maeneo yanayofuata ukitoka Sahara, ukichukua picha kutokea Lango Lango Sahara hutapaona, ukichukulia kutokea ziwani kamanga poster na Sahara hazitaonekana wala Nera hivyo hivyo kila kona utakayoenda tatizo milima
 
We endelea kutapatapa kama bata. Huna hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba hizo picha basi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha ziko uzi wa Dar vs Nai.

Yani ata kuangalia kitu kwa hii hii forum ni shida? No wonder literacy iko chini bongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaona kule picha ya Nairobi inayocover area yote ya CBD, (old cbd +upper Hill +Kilimani +etc) but zipo zinazo cover more than 3/4 ya Dar CBD na ninazani kwa sababu Dar CBD iko bondeni kama ilivyo Mombasa ko ni rahisi kupata oblique photo inayo chukua karibu eneo lote la CBD ndugu!!
 
Your reasoning is wanting. Take books and read it might help you. Goodbye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…