The great jay
JF-Expert Member
- Aug 8, 2017
- 635
- 669
ngoja ntafute dataHaya sikupingi, ukiachana na 2019 hiyo miaka mingine tuletee data za jiji lililokuwa linaongoza nearly 10 years
Maana yake kuna hospitality facilities za kuwa-accomodate unafikiria Beckham analala 4 star hotel? Au anakula restaurants za kawaida? Mshikaji hii fani kwa Mwanza bado sana! Get a 5 star hotel kwanza then utajua the use of things like culture heritage center!Kwa hiyo wakivisit celebrities ndo nn yaani... Ndo bora kuliko zote Tanzania au...Au labda hao celebrities wamefunga safari kutoka US kuja kusafisha macho hapo..
Maana yake kuna hospitality facilities za kuwa-accomodate unafikiria Beckham analala 4 star hotel? Au anakula restaurants za kawaida? Mshikaji hii fani kwa Mwanza bado sana! Get a 5 star hotel kwanza then utajua the use of things like culture heritage center!
Unataka kusema Mwanza Hakuna five star hotel? 🙊Maana yake kuna hospitality facilities za kuwa-accomodate unafikiria Beckham analala 4 star hotel? Au anakula restaurants za kawaida? Mshikaji hii fani kwa Mwanza bado sana! Get a 5 star hotel kwanza then utajua the use of things like culture heritage center!
Umeelewa nn hizo hoteli hapo! Mwanza haina 5 star hotel kama picha inavYoon yesha!Dah eti get a 5 star hotel first... Umeamua kuwaundermine wana mwanza bhana
Halafu hili battle halina umuhimu wowote ndani ya huu Uzi...let this be the last comment of this kind.. Anayetaka kujionea atatembelea miji yote miwili.. Tuendelee na mada hewani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata screenshot haikutoshi badoUmeelewa nn hizo hoteli hapo! Mwanza haina 5 star hotel kama picha inavYoon yesha!
Ipo kaka... Wala usijisumbueUnataka kusema Mwanza Hakuna five star hotel? [emoji87]
Hii ni duka Kenya. Hata khetias supermarket Kisumu imeishinda. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kama hizi ndio vitu mnaita malls then may God have mercy on you[emoji23][emoji23][emoji23].Look at this.This is Tumaini supermarket, it just a supermarket in Kisumu, it is better than all those things you posted above as malls.View attachment 1317489
Sent using Jamii Forums mobile app
hii ni 18+ tower nazani ila itakuwa top 10 ya majengo yaliyojengwa kisasa na facility za kisasa tz
which Kisumu? This one?Apart from rocks found in most parts of Mwanza...Mwanza can't stand a chance against Kisumu..tukubal tu. Kenyan get really serious when it comes to urban planning.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikumaanisha hiyo ni mall we kiazi fuatilia kilichofanya hadi niandike hivyo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ni duka Kenya. Hata khetias supermarket Kisumu imeishinda. [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1317841
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisumu is the real deal. [emoji116][emoji116][emoji116].
3rd City vs 2nd City[emoji23]View attachment 1317842View attachment 1317843View attachment 1317844View attachment 1317845
Sent using Jamii Forums mobile app