Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

[emoji23][emoji23][emoji23]Mwanza iko na airport Kwanza? Ebu tuonyeshe hio kibanda yenu. Kusema Ukweli, Kisumu is more developed infrastructure wise. Mwanza is a bigger town but pathetic in terms of infrastructure. Mwanza haiwezi qualify kuwa City Kenya. Linganisha Mwanza na Eldoret.
Mwanza town...[emoji678][emoji678][emoji678] good..
 
Bwahahaaaaaa...hta huoni haya...eti ulinganishi kisumu na mwanza ..

Leta list ya universities zote za mwanza nikutee za kisumu...

"""""" companies zote za mwanza nikuletee za kisumu...

""""""Malls zote za mwanza nikuletee za kisumu..

Then tutaendelea na mengine
Tuanzie hapa...,niletee hizo universities za kisumu..
 
Ati hii imeishinda Rock city mall...ile bhangi umevuta imekukolea barabara..View attachment 1148034
This is what we're talking about, a 62,000m² mall. Bigger than any mall in Tz.
Lake-basin-Mall.jpeg
facility-1.jpeg
lb5.jpeg
IMG_20190702_122719.jpeg
 
Hapa ndo nimejua hauko serious wewe. Rock city Mall is the biggest one in East Africa sembuse ulinganishe na hiyo uchafu yako ya Kisumu.
Umelaaniwa wewe. Rock city ni nini sasa hapa subsaharan Africa.
 
Umelaaniwa wewe ,
Rock city ni nini sasa hapa subsaharan Africa
Ni sawa na huo upumbavu wenu, ndegelek wewe. You brag here kana kwamba sijui mpo first world kumbe hata raia zenu zinahangaika na njaa. Shubamit.
 
Back
Top Bottom