Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

We have two big universities;
Catholic University of Health and Allied Sciences (CUHAS).
St.Augustine University of Tanzania (SAUT).
The rest are colleges, institutes and campuses... There are so many that hata nashindwa kuweka hapa....
But I'm sure kisumu yote hakuna kama hivyo viwili hapo juu......ANAYEBISHA NA AJE...
So many ndio nini weka hapa tuone sio kupayuka tu..Mwanza hakuna vyuo vingi kupita Arusha na Dar Ndio maana unatapatapa tuu hapa
 
Naona unajitekenya...bwahahaaa..ukwel ni mwanza kuna university mbili pekeake..malls pia ni mbili...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tena hzo university si za serikali...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nyie hata universities hamna....mna vibanda vya kusomea......eti GLUK rank 44 country wise ndo unaringanisha na vyuo vyetu...bwaaaah![emoji3][emoji3] this is cheating...
 
Yani jiji la pili kubwa tanzania lina chkazwa na jiji kubwa la tatu kenya...kwel tanzania ni ldc[emoji1784][emoji1784][emoji1784]
Nyie hata universities hamna....mna vibanda vya kusomea......eti GLUK rank 44 country wise ndo unaringanisha na vyuo vyetu...bwaaaah![emoji3][emoji3] this is cheating...
 
Ndio hivyo kila mwaka ina rank za juu za umaskini huko Tzn sasa hata mall zikijengwa watanunua akina nanj
We kumbe mjinga kwelikweli.....huelewi.... Kuna tofauti kati ya Mwanza region na mwanza jiji upo hapo...... Ndiyo maana dar city ni kubwa kuliko mwanza city but mwanza kama mkoa ni kubwa kuliko mkoa wa dar.....hakika kama umasikini ungetengwa kiwilaya,wilaya ya nyamagana ingepitwa na wilaya tu moja ya ilala.....njoo huku nyamagana ama ilemela unioneshe hao masikini unaowasemea......tatizo lenu nyie mnajikuta mnajua mno kuliko ss wenyeji..... Yaani kubishana na mtu anayejikuta anaelewa jambo wakati halijui ni upumbavu.....ngoja niwaache sababu ninyi mnajua kuliko sisi.....
 
Yani jiji la pili kubwa tanzania lina chkazwa na jiji kubwa la tatu kenya...kwel tanzania ni ldc[emoji1784][emoji1784][emoji1784]
Wewe kunguru toka nianze kubishana na ww nimeona huna akili nzuri.....upo kishabiki sana ww Dada kuliko uhalisia...unajikuta mjanja sana kumbe ni mpumbavu fulani hivi zwazwa zwazwa....tumekupiga kwenye vyuo na vyuo vikuu umehamia kwenye malls,tuna mall kubwa na bora kuliko yenu...halafu conclusion unatoa ya kijinga kama hapo juu....ninyi tumewazidi sekta nyingi hata ya afya.....endeleeni kujisifia na international airport yenu ambayo haijaguswa na international plane yoyote(I.A for nothing).
 
Naona unajitekenya...bwahahaaa..ukwel ni mwanza kuna university mbili pekeake..malls pia ni mbili...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tena hzo university si za serikali...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
University yako ya serikali ni IPI..
 
K-City
Kisumu_Business-District-3.jpeg
large-1504017690-lbdaDSC_0035-1.jpeg
large-1504017721-lbdaDSC_0026-1.jpeg
IMG_20190707_144158.jpeg
tapatalk_1562067189927.jpeg
FB_IMG_15625016873310943.jpeg
Kisumu_view-from-Kisumu-Beach-Resort.jpeg
 
Wewe kunguru toka nianze kubishana na ww nimeona huna akili nzuri.....upo kishabiki sana ww Dada kuliko uhalisia...unajikuta mjanja sana kumbe ni mpumbavu fulani hivi zwazwa zwazwa....tumekupiga kwenye vyuo na vyuo vikuu umehamia kwenye malls,tuna mall kubwa na bora kuliko yenu...halafu conclusion unatoa ya kijinga kama hapo juu....ninyi tumewazidi sekta nyingi hata ya afya.....endeleeni kujisifia na international airport yenu ambayo haijaguswa na international plane yoyote(I.A for nothing).
Kawaida ya ccm...ukizidiwa hoja unaanza matusi...km ni malls rock city imepigwa chini na lake basin mall..tunataka data..wala hatutaki maneno ya kukaririshwa majukwaani...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Tuletee ya mwanza ya serikali tuione[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haijalishi...
 
Back
Top Bottom