Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa uchafu huo
Tzn ustaarabu ni mdogo sana kwa vile watu wengi ni wajinga hawana elimu ndio maana mambo yanenda hovyo hovyo bila mpangilio na hilo la mipango miji kuwa duni yaani nchi nzima inakuwa slum tofauti na nchi za jiraniHuwezi kuringanusha kisumu na mwanza. Kisumu iko vizuri sana. Mpangilio tu wao,barababara,majengo. Sisi miji yetu tunaweka weka tu. Sisi wanaohusika na mipango ya miji hawako active kupanga miji kabla wananchi hawajavamia maeneo na kujenga holela
Tzn ustaarabu ni mdogo sana kwa vile watu wengi ni wajinga hawana elimu ndio maana mambo yanenda hovyo hovyo bila mpangilio na hilo la mipango miji kuwa duni yaani nchi nzima inakuwa slum tofauti na nchi za jirani
You call them dream houses mara eti unplanned settlements. Poor danganyikans!Tuletee hizo slum tuone.
You call them dream houses mara eti unplanned settlements. Poor danganyikans!
Kila mtu anajua kenya ni makao makuu ya slum Africa,
Hamna nchi inaitwa Tanganyika pole[emoji4][emoji4][emoji4].
You and I know that The largest slum in the world is Dar is slum penye watu wanazaana kama panya na wanaishi kama nguruwe huko Mwananyamala kwa kopa na Makaburini
Hakuna miji michafu kama miji ya kenya na zile nyumba zenyu za mabati chini hadi juu..HahahaaaMiji ya tz michafuchafu sana
Hakuna miji michafu kama miji ya kenya na zile nyumba zenyu za mabati chini hadi juu..Hahahaaa
Kenya ni nchi ndogo lakini ina watu wengi karibia mnakaribia Tanzania kwa idadi kubwa ya watu, hapa ushajua ni nani anazaana Sana.
Alafu everyone know kenya ni makao makuu ya slum Africa, slum kila kona, bila kusahau biggest slum in the world Kibera.
Large country full of lazy tired bums and walking corpses in the Dark satanic nation
Someone from kenya trying to call others lazy [emoji23][emoji23][emoji23].
We are lazy but we feed your country kila kitu.
Njaa - Ukame - Njaa -Ukame; wimbo huu ni tangu Uhuru wa Kenya, tumeuchoka tuleteeni wimbo mwengine.
Hali ya njaa huko Wajir imeanza kwa kasi kubwa. Hii ni aibu kubwa sana kwa Mkenya kwasababu hali hii ni tangu "independence", pesa yote ya Kuchimba " dams" wamegawana wanasiasa.www.jamiiforums.com
Lazy witches can't feed Kenya. Tell me any foodstuff you export to Kenya in bulk apart from maize. Tell me anything you export apart from maize
Wewe unapigana tu kelele. Unaongea bila ushsuhidi sasa nani atakusikia? Hapa watu wanadhibitisha wanachosemaWe feed your country wacha ubishi.
Kuanzia vyakula, matunda hadi mboga mboga [emoji23][emoji23][emoji23]
Kaulize wakubwa wako, tukisema nyweee mnapiga magoti.
We feed your country wacha ubishi.
Kuanzia vyakula, matunda hadi mboga mboga [emoji23][emoji23][emoji23]
Kaulize wakubwa wako, tukisema nyweee mnapiga magoti.