Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

3. Nyamasaria interchange
10118008_img20190828064311_jpeg65a1b6f6c9d730f6683d6552c3895585.jpeg
 
Wat new about few pic come mention kuna interchange kathaa na uzitaje haina haja ya picha maana picha inachoose one beautiful place ivo haisaidi kitu
[emoji23]Hakuna kitu Kama one beautiful place ju hizi interchange ziko kwa residential areas mbali kiasi na CBD.
 
Parrot hotel 13
Ngorongoro complex 15
Kaloleni nsssf complex11
Naura spring 10
Hugo plaza 11
Mafao house 12
Uhasibu 12
Five mb (opposite na sakina liko uc)13
Samunge (uc) 12
Opposite idara ya maji sijui jina 11
Stend apartments(silijua jina ila location n pembeni ya stendi kubwa) 11
Leopard hq kijenge A 10
Leopard hq twin B (kijenge) 10
Kuna commercial building karibia na sound city siijui jina ila iko (13)
Father babu pale kuna uc iko 10
Nmb soko kuu 11
Opposite na mount meru hospital uc 11

Mkuu nyingine sikumbuki ila izo nlizoandika sijui majina hata kesho ukitaka naweza enda piga picha site board kama ntapata muda afu kuna ambazo nimekosea counting ila n above 10
Nyuma ya Dar kwa Tzn ni Arusha hiyo mwanza ni level ya Dodoma hamna kitu zaidi Lundo la watu hohehahe
 
Alafu hawa mbuzi wanadhani traffic lights ni sifa wakati huo ni ujinga tuu inatumika kwa miji yenye haina barabara za kutosha kuondoa jam,,sasa kama Kisumu kuna interchange kibao,flyover za kutosha overpass na underpass za kuzidi,dual roads traffic lights za nini
Ni aibu jiji kama Dar limekosa miundombinu kama ya kisumu city yenye over 6 mln people,Tzn muachage uzwazwa na akili za ki ldc
 
Back
Top Bottom