Ninyi nyote hamuijui mwanza, watanzania hawapo sana bize kupga mapicha magorofa au video za majiji lakn kuna video baadhi za mwanza aerial view niliona nkashindwa kushare, nenda kaangalie uone tofaut ya mwanza na hiyo kisumu na Arusha, inshort mwanza ni more like hawajengi majengo marefu kwasababu ya geography mzee baba, ni sawa na zanzibar ukatafute jengo refu wakat zanzibar ni jiji la bata, mahoteli na majengo yake ni mafup mafup ila mazur, so mwanza ile ardhi yao ni full mawe, kwahyo wanajenga majengo mafupi lakn mazuri, hazizid floor kumi, mwanza ina vivutio vya kitalii kutokana na lile ziwa na lile jiji ni limepanuka kwa kujengwa kuliko arusha na kisumu ambazo utakuta pamejengeka pale CBD tu, nenda youtube ukaone mwanza ilivyo na majengo kila kona, Arusha kwa majengo wala sibishi kisumu nimechek youtube kiukwel hamna kitu ni kama moshi tu, zaid ya hvo vigorofa vyenu basi