Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Unapolinganisha miji, usiangalie continent jomba...nenda ki nchi, kw sababu kuna nchi ndogo na kubwa(geographically) kwhyo mfano wako bado sana...

Tukienda ki nchi, turkey na uingereza hakuna miji zaidi ya instabul na london(respectively) kw maendeleo
Sizungumzii huo ukubwa unaomaanisha ww...sehemu inaweza kuwa ndogo ila pop ikawa kubwa...hapo sana sana tunaangalia population density yaani idadi ya watu per eneo...hivyo hakuna anayepunjwa hapo..
 
Mwanza
20191207_151058.jpeg
 
Back
Top Bottom