Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Hivi form 4 wa Kenya anaingia moja kwa moja MUHAS...?Nlimuuliza anitajie sehemu ambayo hawezi jiunga na chuo hapa duniani km form4 wa kenya akakimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi form 4 wa Kenya anaingia moja kwa moja MUHAS...?Nlimuuliza anitajie sehemu ambayo hawezi jiunga na chuo hapa duniani km form4 wa kenya akakimbia
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂Kazitafute uangalie pekeako halafu ukalinganishe na kisii hko..
Mm mjadala nimeshafunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila ya hata tashwishi kisaHivi form 4 wa Kenya anaingia moja kwa moja MUHAS...?
Kwa sayansi gani aliyoisoma....
Kwn wakienda havard huaga wanaenda kw sayansi ganiKwa sayansi gani aliyoisoma....
Duh!!wana medical school pia, au ilkua hujuiHarvard ni chuo cha udaktari kweli
Sawa Harvard medical school
kweli tembea uone dunia yaani Rio ndo iko na vilima vilima hivyo aisee,amazing landscapeHeheeee!!ume change gear baada ya kuona ya kwamba sao paulo kunamilima na bado picha zianapigwa vizuri..
Cheki rio de janeiro hyo kwanza, manake naona ume change gear eti hooo cbd[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1311091
Sasa leta za mwanza View attachment 1311088View attachment 1311089
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama GDP ya TZ inachezea 50 Billion Mwanza inaeza kua ngapi sasa[emoji23][emoji23]
The City is part of the county and adds up just like the Nairobi City county.Yah we mean city not county...
ComplicatorThe City is part of the county and adds up just like the Nairobi City county.
Hapo chacha...Kama GDP ya TZ inachezea 50 Billion Mwanza inaeza kua ngapi sasa[emoji23][emoji23]
Kisumu ferry tetanus all over!
Hakuna Complication hapo. You just have to understand how the system works.Complicator