Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Nyie watu wanapokaa si kuna mavumbi tu... Kwa hiyo zipo huko mavumbini... Halafu kumbe mnazo tatu tu.... Mbona list yako uliorodhesha kama kumi hivi.. [Emoji3]…
Now is picture time.
Mega plaza mall
IMG_20200109_212038.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ni wapiga porojo na wakujikweza hamni babaishi.... Vingine hapo ni shopping centers tu eti mall... Eti barabara nane wangese kweli nyie...

Sasa wewe hauna hata baiskeli ya Mbao,Unaimbaimba barabara ya 8 lane.You don't have an underwear with yourself na unakurupuka mbele na nyuma hujui hata unachosema
 
Back
Top Bottom