Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Mwanza is the size of kisii an doesn't qualify to be called a city at all. It still needs 500 year to be a city. A shame that it is your second largest town
Tatizo uwezo wako wa kufanya comparison ni mdogo sana na hutumii akili unatumia mihemko na kukariri, miaka ya nyuma nilikuwa nikisikia Kisumu nahisi bonge la city kumbe ugoro,
 
Na mmekutana wote bogus kweli kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂wenye akili timamu wanashangaa tu

Kawaida ya Mdanganyika akishikwa sehemu nyeti anakurupuka tu vile unafanya. We are used to that
 
Mega City shopping mall
FB_IMG_15787435756626367.jpeg
IMG_20200111_144607.jpeg
IMG_20200111_144812.jpeg
IMG_20200111_144502.jpeg
FB_IMG_15787436955777341.jpeg
IMG_20200111_144741.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It has been under construction for the last 10 years anyway
Huko nyuma ujenzi ulisuasua... Subir tumalize jengo la abiria ndo tuelewane..
Ila nasikia kisumu hata airbus haijawahi tua hahaha
 
Tatizo uwezo wako wa kufanya comparison ni mdogo sana na hutumii akili unatumia mihemko na kukariri, miaka ya nyuma nilikuwa nikisikia Kisumu nahisi bonge la city kumbe ugoro,

Tihahahhaaaaa, Midanganyika wenye ujinga wote kweli wako JF. Mwanza ni kitu kidogo sana. If I were in kenya it would be 7th
 
Tihahahhaaaaa, Midanganyika wenye ujinga wote kweli wako JF. Mwanza ni kitu kidogo sana. If I were in kenya it would be 7th
If you were in Kenya it would be seventh... Achana na hayo majani yatakupoteza.
 
Because Mwanza has been thwarted in Shipping centers, roads and housing. Why can't we now move to airport then port?[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ati shipping centers hahahaha
Roads zipi ile barabara uliyoleta...hakuna nyumba za maana ulizoweka humu zakushindana hata na zilizopo busweru achilia mbali za Capri point..
 
Ati shipping centers hahahaha
Roads zipi ile barabara uliyoleta...hakuna nyumba za maana ulizoweka humu zakushindana hata na zilizopo busweru achilia mbali za Capri point..

Show us estates In Mwanza, Highways in Mwanza, malls in Mwanza, Za maana
 
Back
Top Bottom