Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Show us estates In Mwanza, Highways in Mwanza, malls in Mwanza, Za maana
Wewe si ndiye uliyesema hakuna estates nikakuwekea ukakimbia....highway tulishaweka ile airport highway,ntaleta na musoma highway.... Mall ya maana mwanza ni rockcity ambapo kisumu hakuna mfano wake...
 
Juzi tu, Unaongea juu ya Mwanza as if it's some huge city. The quality of buildings in that town ni kama za Kabul. so don't even call Mwanza a city. It's a large ujamaa village l
Elevator ya kwanza iliwekwa 1954 na waume zenu waingereza...
 
I meant shopping centers. Real estate in Mwanza is zero.
Ati shipping centers hahahaha
Roads zipi ile barabara uliyoleta...hakuna nyumba za maana ulizoweka humu zakushindana hata na zilizopo busweru achilia mbali za Capri point..
This is just part of Riat.
IMG_20200109_211443.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe si ndiye uliyesema hakuna estates nikakuwekea ukakimbia....highway tulishaweka ile airport highway,ntaleta na musoma highway.... Mall ya maana mwanza ni rockcity ambapo kisumu hakuna mfano wake...

That's why I said you must be really high on Albino blood. Mwanza has NO estates.
 
Back
Top Bottom