Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Hiyo miradi ndo inaleta ajira kwa watu na kuinua vipato vya watu ...Ninyi endeleeni kujikweza na vitu vya uwongo sie twapiga hatua.Mwenzako pia anaongea pumba, ndio manake nikampa zake..miradi ya serikali halafu watu maskini
Sent using Jamii Forums mobile app