Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
The eastern and central Africa longestJPM's Kigongo-Busisi Bridge, 27% done and counting..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Infrastructure ilikua wapi? Si mumejenga sahii hio kitu inakaa apartment. 😁😂So u think BOT had no presence in Mwanza before?
CBK Kisumu opened its doors so many years ago. Mumefungua yenu juzi na usha anza kiburi.
View attachment 1817978
BOT imekuwepo mwanza since 1970's .Hili jengo unalilofunguliwa jana limejengwa kutoka na demand kuongezeka ukizingatia Mwanza ndo centre ya biashara ya madini afrika mashariki na kati.So,kuna biashara kubwa kuliko matarajio yaliyokuwepo since miaka ya nyuma.Mwanza kuna majengo makuu matatu ikiwa pamoja na Chuo kikuu cha BO.Ukweli ni kwamba size ya Mwanza ni Kampala,Kigali na Mombasa sio Kisumu city ndo maana Kisumu yenyewe inazidiwa Nakuru new city.CBK Kisumu opened its doors so many years ago. Mumefungua yenu juzi na usha anza kiburi.
View attachment 1817978
Infrastructure ilikua wapi? Si mumejenga sahii hio kitu inakaa apartment. 😁😂
😂😂😂😂 wueeehhhh enyewe TZ munatoka mbali.
Kiongozi ungeweza kupata picha ya jengo la BOT la zamani la pale mtaa wa kemondo ungewatumia tena ni kubwa tu kama ili lililozinduliwa jana.BOT imekuwepo mwanza since 1970's .Hili jengo unalilofunguliwa jana limejengwa kutoka na demand kuongezeka ukizingatia Mwanza ndo centre ya biashara ya madini afrika mashariki na kati.So,kuna biashara kubwa kuliko matarajio yaliyokuwepo since miaka ya nyuma.Mwanza kuna majengo makuu matatu ikiwa pamoja na Chuo kikuu cha BO.Ukweli ni kwamba size ya Mwanza ni Kampala,Kigali na Mombasa sio Kisumu city ndo maana Kisumu yenyewe inazidiwa Nakuru new city.
Ila Bank of Tanzania ina training Institute Mwanza na si University (chuo kikuu)!BOT imekuwepo mwanza since 1970's .Hili jengo unalilofunguliwa jana limejengwa kutoka na demand kuongezeka ukizingatia Mwanza ndo centre ya biashara ya madini afrika mashariki na kati.So,kuna biashara kubwa kuliko matarajio yaliyokuwepo since miaka ya nyuma.Mwanza kuna majengo makuu matatu ikiwa pamoja na Chuo kikuu cha BO.Ukweli ni kwamba size ya Mwanza ni Kampala,Kigali na Mombasa sio Kisumu city ndo maana Kisumu yenyewe inazidiwa Nakuru new city.
Hii inakaa kama nn?Infrastructure ilikua wapi? Si mumejenga sahii hio kitu inakaa apartment. 😁😂
Commercial Building.Hii inakaa kama nn?
![]()
Commercial Building.