Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Mamboleo kisumu City
GridArt_20220116_124948088.jpg
1642230801379.jpg
1642069581059.jpg
1642051242904.jpg
 
Zime anza porojo tena
Hizi figisu zilianza toka mwezi wa sita ili jengo walilisimamisha, et limekabiliwa na ufisadi pia usanifu wake haujakidhi viwango vya kimataifa, sasa walikuwa wapi kuzuia toka mwanzo?
 
Huoni cha maana kwenye kinachozungumzwa? Yaani unajenga airport bila ya ushauri wa engineer wa TAA! Too risky!
Mkuu kwani wakati wanaanza ujenzi na usanifu wa hilo jengo hao TAA walikuwa wamelala usingiz gizani bila mwanga wa taa.
 
Hizi figisu zilianza toka mwezi wa sita ili jengo walilisimamisha, et limekabiliwa na ufisadi pia usanifu wake haujakidhi viwango vya kimataifa, sasa walikuwa wapi kuzuia toka mwanzo?
Hapo ndo shida inapoanzia watu wanashindwa kua accountable na wanachokifanya
Kwa sababu had limefika hapo lilipo walikua wanaliona iweje ghafla waseme TAA haijashilikishwa
 
Mkuu kwani wakati wanaanza ujenzi na usanifu wa hilo jengo hao TAA walikuwa wamelala usingiz gizani bila mwanga wa taa.
Unajua utemi wa Ngosha kaamua kuwapa Wasukuma wenzie ulaji! Katoa mradi chini ya usimamizi wa TAA kapeleka kwa Halmashauri!
 
Hiv ndo vitu ambavyo hatuvitaki
Walikua wapi toka mwanzo
Mradi kusimama ndo kunapoteza fedha nyingi sana
 
Unajua utemi wa Ngosha kaamua kuwapa Wasukuma wenzie ulaji! Katoa mradi chini ya usimamizi wa TAA kapeleka kwa Halmashauri!
Hilo ndo lilikuwa tatizo, naye hayati alikuwa na mapungufu yake japo tulimpenda, ilo jengo ata architecture yake sio nzuri ni kama godown fulani hivi.
 
it was too risky linaweza kuja kukataliwa na ICAO kuruhusu international flights! maana hufuata specifications!
 
Back
Top Bottom