Kisumu vs Mwanza

Kisumu vs Mwanza

Hahaaaa
Wameshazika pesa chini bora waliboreshe tu shughuli iendelee
Hilo halina hadhi ya international airport ni bora liwe jengo la kuuzia bidhaa kama soda na juice pamoja na sehemu ya kuuzia vibambala, hakuna kitu pale tulipigwa.
 
kisumu mpana
2459937_IMG_20200718_141437.jpg
33080079648_ee3d6eee9d_h.jpg
 
Hakuna miundo mbinu bora ya barabara, hakuna landscaping, yaan ni zig zag tu, au mnapagawishwa na tuvigorofa uchwara ambato hatuna mpangilio mzuri, nawashauri muwe na plan nzuri ya jiji lenu muige mifano ya majiji mengine yalivyo hii kisumu is like a big village😁😁😁

Kitombi, hebu cheki tu venye majumba kisumu yalivyo jengwa kiutaratibu hadi huku. kama ingekua mwanza, by the tyme unafika deep hadi huku, yani bro huku sahizi ingekua uswazi mtupu!!. ptoh!!. matope matope!
 
Kitombi, hebu cheki tu venye majumba kisumu vilivyo jengwa kiutaratibu hadi huku. kama ingekua mwanza, by the tyme unafika huku estates, yani bro huku sahizi ingekua uswazi mtupu!!. ptoh!!. matope tupu!
Magorofa ndo yanakutoa ushamba, uzuri wa jiji sio magorofa, ebu angalia vizuri huo mji wenu ulivyo na poor urban settlemen, majiji bora huwa yanaongozwa na master plan, angalia nchi za scandinavia hazina magorofa marefu lakini mpangilio wa mji upo well organized.
 
Karibu Mwanza ujifunze mpangilio wa miji.
 
Unplanned city, city kama vile village halina mpangilio kabisa, Urban settlement is very very poor.
Hapo ni residential estate, yaani makazi ya watu, sio town kilaza, makazi ya Mwanza ya watu wa kawaida kama wewe ni hovyo.., yaani in kisumu estate is bigger na iko na magorofa mengi than your Mwanza town centre.., 😂 😂 😂 😂 ., na hiyo sio ile ya watu matajiri kama akina Milimani, Mt. view., Riat etc..,
 
Sama boy 255
Na Tigress ameanza kutembea kutokea kati kati, ameacha sehemu kubwa from a place called Kicomi, apite Swan centre apande hadi KCB round about....,
 
Magorofa ndo yanakutoa ushamba, uzuri wa jiji sio magorofa, ebu angalia vizuri huo mji wenu ulivyo na poor urban settlemen, majiji bora huwa yanaongozwa na master plan, angalia nchi za scandinavia hazina magorofa marefu lakini mpangilio wa mji upo well organized.
Ebu weka Mwanza mitaani uone kituko kama ya Dar, poor looking housing zimetapakaa.., yaani mtanzania hafai kuongea ikija urban planning, mko hovyo nani 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kitombi, hebu cheki tu venye majumba kisumu vilivyo jengwa kiutaratibu hadi huku. kama ingekua mwanza, by the tyme unafika huku estates, yani bro huku sahizi ingekua uswazi mtupu!!. ptoh!!. matope tupu!
Hawa watu nchi imejaa ufukara na wako na kiburi sana, hawaperndi ukweli, wakiona kizuri Kenya inawauma sana, lazima watafute pakuponda, wivu inawanyonga 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ebu weka Mwanza mitaani uone kituko kama ya Dar, poor looking housing zimetapakaa.., yaani mtanzania hafai kuongea ikija urban planning, mko hovyo nani 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Makazi ya hovyo mwanza yapo kwenye baadhi ya milima, lakini kwenye maeneo yote ambayo ni tambarare makazi yapo well planne and well organized, ni vigumu kuwapanga watu milimani.
 
Hawa watu nchi imejaa ufukara na wako na kiburi sana, hawaperndi ukweli, wakiona kizuri Kenya inawauma sana, lazima watafute pakuponda, wivu inawanyonga 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
pia ndo nimegundua tu ivo, yani hio ni tabia ya waTz karibu wote. they can never give a credit where its due. they must! just get a reazon to criticise somethng, however perfect it could be
 
Kisumu international airport without a cold/fresh cargo terminal!
 
Back
Top Bottom