Hahaha usiwaze sana Mungu aliisha tusamehe, we kula bata tu.Daaah yaani hiyo sheria sio ya haki kabisa na kosa lenyewe ni kudokoa parachichi sijui lililokatazwa. Halafu ukizingatia wala hawakuomba kuumbwa wamajikuta tu wameshaumbwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha usiwaze sana Mungu aliisha tusamehe, we kula bata tu.Daaah yaani hiyo sheria sio ya haki kabisa na kosa lenyewe ni kudokoa parachichi sijui lililokatazwa. Halafu ukizingatia wala hawakuomba kuumbwa wamajikuta tu wameshaumbwa
Kumradhi, tutaendelea kuondoa posts zenye matusi na zinazokiuka sheria za JF.Long live #Jamiiforums. If you live for Freedom don't settle for anything less....
Sema muache ukuda wa kufuta comments kwenye uzi wetu pendwa wa #kula tunda kimasiara "
Hizi #manipulations mnazofanya zinaanza kututoa imani sisi watumiaji wa mtandao wenu na kuhisi kwamba huenda huu mtandao haupiganii hiyo freedom of press kama ambavyo tunaamini
Nimeipitia sana hiyo thread. Posts zote zilizoondolewa kwa asilimia kubwa zilikiuka sheria za JFNashauri Maxence Melo ufanyie kazi hili suala haraka sana kabla halijajenga perception mbaya miongoni mwetu. ongea na moderators wako wafanye kazi kwa misingi ambayo kwayo mtandao huu umeanzishwa.
😀😀😀😀 nchimari jaji, lkn pia tunawafundisha, kwamba hata shweitani ana nafasi yake km mwana mpotevuHahaha tumeharibu uzi wa watu mkaruka, inabidi tuamishe mjadala kule jukwaa la dini.
Binafsi nampenda Mungu kwasababu naamini yeye kusamehe bila masharti, na haangalii ukubwa wa dhambi bali dhamira ya toba.
Hivyo naamini hata shetani mwana mpendwa mpotevu atasamehewa siku ikifika na atakuwa high table anakula bata na wenye wivu watanuna na kujinyonga.
Sawa mkuu, na je km mimi km mimi mwenyewe nimeruhusu nitukanwe/ kupigwa povu kma nikikosea, kufanya jambo sawia na kanuni za mjadala si rhuksa?Kumradhi, tutaendelea kuondoa posts zenye matusi na zinazokiuka sheria za JF.
Watu wanaweza kushiriki mjadala bila kutumia lugha kali au matusi dhidi ya wenzao. Uhuru tunaopigania si wa kutukana wenzetu!
Nimeipitia sana hiyo thread. Posts zote zilizoondolewa kwa asilimia kubwa zilikiuka sheria za JF
Unaona sasa ndo yale yale! hivi unajua kazi ya Beberu lkn?Hawaogopi tuzo turio pewa kule kwa mabeberu wakuu