Kisutu, Dar: Hukumu ya Kesi namba 456 ya Jamhuri dhidi ya JamiiForums kutolewa Januari 22, 2020

Daaah yaani hiyo sheria sio ya haki kabisa na kosa lenyewe ni kudokoa parachichi sijui lililokatazwa. Halafu ukizingatia wala hawakuomba kuumbwa wamajikuta tu wameshaumbwa
Hahaha usiwaze sana Mungu aliisha tusamehe, we kula bata tu.
 
Long live #Jamiiforums. If you live for Freedom don't settle for anything less....

Sema muache ukuda wa kufuta comments kwenye uzi wetu pendwa wa #kula tunda kimasiara "[emoji23]

Hizi #manipulations mnazofanya zinaanza kututoa imani sisi watumiaji wa mtandao wenu na kuhisi kwamba huenda huu mtandao haupiganii hiyo freedom of press kama ambavyo tunaamini

Nashauri Maxence Melo ufanyie kazi hili suala haraka sana kabla halijajenga perception mbaya miongoni mwetu. ongea na moderators wako wafanye kazi kwa misingi ambayo kwayo mtandao huu umeanzishwa.
 
Kumradhi, tutaendelea kuondoa posts zenye matusi na zinazokiuka sheria za JF.

Watu wanaweza kushiriki mjadala bila kutumia lugha kali au matusi dhidi ya wenzao. Uhuru tunaopigania si wa kutukana wenzetu!

Nashauri Maxence Melo ufanyie kazi hili suala haraka sana kabla halijajenga perception mbaya miongoni mwetu. ongea na moderators wako wafanye kazi kwa misingi ambayo kwayo mtandao huu umeanzishwa.
Nimeipitia sana hiyo thread. Posts zote zilizoondolewa kwa asilimia kubwa zilikiuka sheria za JF
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nchimari jaji, lkn pia tunawafundisha, kwamba hata shweitani ana nafasi yake km mwana mpotevu
 
Hawaogopi tuzo turio pewa kule kwa mabeberu wakuu
 
Sawa mkuu, na je km mimi km mimi mwenyewe nimeruhusu nitukanwe/ kupigwa povu kma nikikosea, kufanya jambo sawia na kanuni za mjadala si rhuksa?

AU tufanye hivi Anzisha forum maalum, uitolee warning kabisaa! kwamba ukiingia huku ukipata tusi usilielie

ukitoa threads zako forum fulani ni rhuksa mtu kukutukana atakavyo;

Nashauri tu mkuu siyo lazima ufanyiwe kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…