KISUTU, DAR: Maxence Melo akutwa bila hatia shtaka la Kikoa. Apewa 'Conditional Discharge' kwenye shtaka la kutotoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi

Mkuu Maxence Melo nakutakia kila la kheri kwenye kila hatua unayoichukua katika kusimamia mambo ya msingi yenye tija kwako, jamii na Taifa kwa ujumla.
 
Sijui ya lini?

Ila hiyo serikali imeona wake wawili ndio changamoto kubwa kwa wananchi wake au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…