Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha.. Mkuu ukisema ufatilie mambo ya hii nchi unaweza ugua kichaa.Sijui ya lini?
Ila hiyo serikali imeona wake wawili ndio changamoto kubwa kwa wananchi wake au?
Ahsante kwa kunijuza.Ile siku Mexence melo anahukumiwa na mahakama ya kisutu