Kisutu, Dar: Waliodai "Waziri Mkuu Kasim Majaliwa avujisha video, picha zake za ngono" Wapandishwa Kizimbani

hivi vijamaa visengerema sana bora vile hata miaka kadhaa maana hata kama ni kutafuta pesa sio ku_risk maisha kiasi hiki...

 
Wapumbavu wa kutupwa. Nawaonea huruma wataozea jela. Pona yao Waombe tu Freeman Mbowe awe waziri mkuu 2025
 
wapuuzi sana vijana wa YouTube wanaokosa weledi na kuishiwa contents .
 
Inaitwa click bait.

Ni mbinu ya kivivu ya kujipatia views mitandaoni.

Ila ni wajinga sana kuna channel moja ya youtube yaani hua wanahoji malaya tu wakielezea jinsi wanavyofirwa na wanavyosema hiyo ni njia ya kumshika mwanaume.
 
Unaanzisha vitu then, hujui kanuni na sheria za matumizi yake
 
watanzania bana... πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Unaleta utani na mtendaji mkuu wa shughuli za serikali! Nenda lupango ushike adabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…