Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,596
- 2,079
Kama Gwajiboy!!!DAAH WATU WANA MASKHARA SANA YANI WAMEZUSHA WAZIRI MKUU AMEVUJISHA VIDEO AKIYAKATA MAUNO!!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Gwajiboy!!!DAAH WATU WANA MASKHARA SANA YANI WAMEZUSHA WAZIRI MKUU AMEVUJISHA VIDEO AKIYAKATA MAUNO!!!??
Walitaja jina la Waziri Mkuu,au kiashiria chochote kumaanisha ni
Yaaah kiashiria si ile thumbnail ni picha ya waziriWalitaja jina la Waziri Mkuu,au kiashiria chochote kumaanisha ni Majaliwa?
Sugu au LemaNani mwenye akili yenye utulivu kule!!
Inasikitisha sana mkuu,miaka 28 huyo ni Kijana Wa makamo,ila bado ana utoto mwingi.Akili za vijana zina vimelea vya UTI. Kesi za kujitakia hizi.
😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana eti afufuka awatoroka freemason😂😂😂😂😀
Washitaki ni wajinga.Hata hivyo hapa hamna kesi kwakuwa washitakiwa hawakutaja jina la waziri mkuu yoyote ni juu ya washitaki kuthibitisha kuwa waziri mkuu anayezungumziwa ni wa nchini mwao
Hata picha huoni kaka ama ww ni kipofu?Walitaja jina la Waziri Mkuu,au kiashiria chochote kumaanisha ni Majaliwa?
imewekwa baada ya comment yanguHata picha huoni kaka ama ww ni kipofu?