Kisutu, Dar: Waliodai "Waziri Mkuu Kasim Majaliwa avujisha video, picha zake za ngono" Wapandishwa Kizimbani

Kisutu, Dar: Waliodai "Waziri Mkuu Kasim Majaliwa avujisha video, picha zake za ngono" Wapandishwa Kizimbani

Eh[emoji849]nchi ina mambo mengi sana ndio naskia leo hii duh
 
Mambo kama haya ndio serikali inakuwa nayo serious tofauti na mambo ya msingi ambayo wanayapuuza
Hata hivyo hapa hamna kesi kwakuwa washitakiwa hawakutaja jina la waziri mkuu yoyote ni juu ya washitaki kuthibitisha kuwa waziri mkuu anayezungumziwa ni wa nchini mwao
 
Kuna watu wanajifanya wanayo map"mb sana kuandika chochote kile ilimradi tu wajipatie umaarufu. Acha wakaisome namba sasa.
 
Hata Kama tunaichukia ccm kumgusa waziri mkuu was unfair Tena kwa mambo personal ambayo hayana ushahidi hapana
 
Samia anavyopenda hizo blogs akaona azifungulie, halafu magazeti yaendelee kufungiwa.
 
Hata hivyo hapa hamna kesi kwakuwa washitakiwa hawakutaja jina la waziri mkuu yoyote ni juu ya washitaki kuthibitisha kuwa waziri mkuu anayezungumziwa ni wa nchini mwao
Wametaja sana! Ingekuwa enzi zile wangepigwa ML!
 
Back
Top Bottom