Kisutu: DPP Biswalo, awaachia huru aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD), Laurean Rugambwa na Mkurugenzi wa Logistiki, Byekwaso

Mmh. Hii imefutwa under duress....ujue kuna watu ambao walikuwa implicated walishinda kwa wachungaji balaa - wakitafuta 'breakthrough'. But time will tell...
Duress?? Lete evidence. Haki imetendeka
 
Awalipe fidia sasa.Ni aibu kumweka mtu ndani kisha unakosa ushahidi unamuachia.Civilized country ushahidi kwanza kisha ndo unashikiliwa
 
Bado yule Mhasibu Mkuu wa TAKUKURU na wenzie pia waachiwe huru maana hawana hatia
 
Upo sahihi mkuu. Watu wanateseka sana ndani ya nchi yao.
 
"Una risiti kama ushahidi wa kupotezewa muda??"

Haya mambo hayajawahi kukuta mkuu, ebu fikiria unaulizwa swali kama hilo, utajibu nini??
Register ya mahabusu si ipo siku unaingia siku unatoka
 
Huyu Mganga alaaniwe kabisa
 


Tanzania ni ngumu sana kufanya uongozi kwenye mashirika ya umma kwasababu kuu mbili

1. Hakuna malengo ya mwaka. Kampuni yeyote inatakiwa kuwa na malengo ya mwaka na watendaji wanatakiwa kupimwa kazi kutokana na malengo hayo. Sio kila siku matukio ambayo ni ngumu kufanya utendaji wa kazi
2. Hujui nani ni boss wako. Kila mtu anajaribu kuwa boss wako ingawa umechaguliwa na wengine. Katibu mkuu ni boss, mawaziri wote ni ma boss....... , bodi ya wakurugenzi ni ma boss sasa ni ngumu kuripoti kwa kila mtu .

Hii ndiyo sababu wengine tulikataa kufanya kazi kwenye mashirika ya umma ya serikali. Nilipata mahojiano ya kazi MSD mwaka 2012 lakini nika kataa baaada ya kujua kwamba hata mkurugenzi sio boss wako. Yaani anaweza kuja mwanasiasa akaamua ubadilishiwe mshahara!! ni ngumu sana kuwa mkurugenzi pale kama wewe una ujuzi wa kupata kazi sehemu nyingine.
 
Sikupendi lakini kwa hili nakubaliana na wewe!
 
Shetani mganga na ibilisi wenzake, wana mashtaka makubwa mbele ya wanadamu na Mungu, kwa ushetani waliowafanyia Watanzania kwa karibia miaka mitano.
 
Ndio maana nasema zile pesa alizokuwa anakusanya DPP ulikuwa ni uporaji, watu waliogopa kwenda jela bila kosa ndio maana wakawa wanatoa pesa, warudishiwe pesa zao, kama wana ushahidi wa makosa yao wapeleke kesi mahakamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…