Wewe umeyaona??Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Ukifuatilia kuanzia kukamatwa, taarifa za vyombo vya ulinzi na usalama na mkanganyiko uliogubika hili tukio unaona kuna hoja hapo?
Jinga sana wewe, kama mimi binti njoo umefungua bottom butt yako uone kama sijaifumua. Lione, akili ndogo kama nyumbu.Kwa hiyo,
1. Umesoma matapishi yangu na umeamua kujibu.
2. Ungenitemea mate eti natia kinyaa.
3. Nina akili ya kuazima
ππ
Huna haja ya kutoa povu jingi kiasi hicho, mimi nimeandika maoni yangu ambayo wewe kama walivyo wengine unakimbilia kutukana.
Sitegemei binti mzuri kama weye kutoa povu jingi kiasi hichi kwa ajili tu ya mtu aitwae Kabendera.
Relax,ongeza siku za kuishi.Much love to you.
Jinga sana wewe, kama mimi binti njoo umefungua bottom butt yako uone kama sijaifumua. Lione, akili ndogo kama nyumbu.
Mkanganyiko gani Ndugu yangu unauzungummzia hapa??!!!
Kwa stament hii unaungana na wote wanaosema mliemchagua huyu mtu mmeiletea laana kubwa nchi hii kiasi kwamba vizazi vyenu vitaiishi hii dhambi so kwa mtazamo wako watu wawe wapole waunge juhudi za mateso Mimi nadhani ikiwa unakubali now tuna watawala dhalimu naww huna ujasiri wakusema kitu nivyema uka Support wenye huo ujasiri huo naww ubakie kwenye keyboard ukiamini iko siku dhulma itakoma bila kujali ni lini maana doctors wengi kutoka mamlakani nivile Mungu aamue refer hotuba ya uzinduzi wa Terminal 3Ni kweli kaka hata kesi yake hii ni kwa sababu tu na maandishi yake kwenye gazeti la The Economist.Nadhani aliona kama risk alokuwa anachukua.Unakumbuka yule mwandishi wa Saudi Arabia alivyokatwa katwa vipande vipande kule Uturuki?Basi mimi naona ukiwa kwenye serikali kama hizi zilizo tayari kufanya lolote kwa kulinda maslahi yao lazima uwe care sana unless upo tayari kwa lolote.Cha kusikitisha familia yake ndiyo itakayohangaika.
Kafie kusikojulikana uoze na kisses zako chafu.Wow sweet words. Oooohmylwooooood.Much love to you. I send kisses to you from me bibikizee asiezeeka.
Wapo walio fight colonialism bila kukamatwa wakiwa uhamishoni na colonialism wakaimaliza, wasingehama wangeishia kuuawa tu na ukoloni ukaendelea
Sipingi watu wanaopinga ukandamizaji, pinga ukandamizaji lakini kuwa smart, epuka kukamatwa kama kunaepukika
Sasa case ya Kabendera alikuwa anaweza kuepuka kukamatwa, sasa sijui ni confidence au ali under estimate serikali sijui
Umeandika nini sasa wewe pimbi? Wewe mchawi nini? Usiniloge tafadhali!!Mbona una hasira sana ndugu, nini tatizo?
Au wataka kuwa kama wale wadudu watoao vimulimuli nyakati za usiku?
Ushabiki mwingine unapitiliza mipaka,serikali sio wajinga kama wengi wetu humu tunavyotoa mapovu,wacha mahakama ndio iamue,kuna siku mtamtetea mlipuaji mabomu ambaye kaja kuwalipua na baadae mtalalamikia serikali kwa kutofanya kazi zake.Humu wote tunabwabwaje tu na hakuna anayejua Kabendera kama ana makosa au la,wengi tumekimbilia kuwa ah kwa kuwa anaikosoa serikali basi ndio anaandamwa,wangapi wanaikosoa serikali na wapo tu?
Umewezaje kuandika kitu kama hichi ?Mambo haya unaweza kupewa hata kesi imemtomba mama yako
Umeandika nini sasa wewe pimbi? Wewe mchawi nini? Usiniloge tafadhali!!
Habari za kutekwa na kupotea kwa huyu jamaa unakumbuka zilivyoleta utata na vyombo husika kuoishana?
Unakumbuka uhamiaji walitoa maelezo gani na kamanda wa kanda maalum alitoa maelezo gani?
Iishiie hapo kwa sasa. Ila watanzania sio wajinga kiasi hicho.
He was too stupid/naive kuandika makala kama zile halafu unaishi bongo na unaona kinachoendelea..He had it coming to him
Angeweza kuandika makala kama zile under a false ID, pia unaweza kufuatilia kila kitu bongo ukiwa nje, dunia ni kijiji hiki, zile makala zake zilikuwa zinachambua tu hotuba za magufuli, miradi anayoifanya na sera zake ambazo hata ukiwa Australia huko ukifuatilia utafahamu tu, au unaweza kuniambia ni vitu gani aliandika ambavyo mtu ukiwa nje huwezi kuvijua? vyote vipo wazi tu, sema yeye ameandika katika kuvikosoa
pia unaweza kuwa na watu wako bongo wanaokupa taarifa za ndani ambazo haziwekwi kwa waandishi, akina Mange kimambi, Ngurumo wanapata intel nzuri tu na wapo nje, hivyo ndivyo waandishi pragmatic, wanavyoishi kulingana na uhalisia wa hali, sio kujifanya unakufa kishujaa, kesho wanakusahau, unaacha familia inateseka na hakuna mabadiliko yoyote uliyofanikiwa kuyaleta sababu ulienda kiboya
Hahah we jamaa ngoja wakutekeLucifa anaishi rasmi ikulu ya Dar es salaam
Ok...sawa...Hapa kuna vyombo vvya dola vingi...Kuna usalama wa taifa, polisi, JW, Magereza na kadhalika...Through my experience naamini kuna chombo kilimkamata kisheria ingawa siyo Magereza...Soma sheria zinazoongoza vyombo hivi vya dola..Kwa mfano soma sheria ya TISS ya mwaka 1996..ACT No. 15 of 1996.
Hawa huitwa "auxiliary force" na hufanya kazi na wote TISS, Polisi na Uhamiaji.
Sisi twawaita "watu wasojulikana" lakini wanajulikana na wengi tunao mitaani.
Kama umemsikiliza kwa makini jamaa ya Uhamiaji amesema kwamba ilibidi wavae kiraia ili kuweza kumkamata mhusika.
ππππππππππKafie kusikojulikana uoze na kisses zako chafu.