Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Kwa huu utawala ukiwa against na ukazidisha basi unapotezwa na au ukikoswa koswa jiandae kwa mashtaka ya uhujumu uchumi.
Ndo maana nasema unapofanya hayo hakikisha upo tayari,kujitoa na kuitoa muhanga familia yako. Life is too sweet jamani.Hope Erick yupo tayari. Acha apiganie haki yake.
 
Halafu unaunga mkono huu utawala...My brother my University mate emb jitafakari. Ukiona utawala unaojisifia sana, kuminya uhuru wa kusema, kuwepo makesi ya ajabu kwa watu makini na watu kupotea hovyo jua kuwa huo ni UTAWALA WA KIDIKTETA kama zile za kina Idd Amin! Hazina tofauti yoyote ile!

"Udikteta ni utawala wa kikundi kidogo cha watu ambao neno la mkuu wao ndiyo sheria na halihojiwi popote pale"
Ndicho kinachoendelea Chadema
 
Unajua kuna ile hata kuiba kura mtu anaona aibu. Wapinzani wangeondoa tofauti zao wakaweka Rais mmoja,mbunge mmoja,diwani mmoja. Mbona CCM watakaa asubuhi tu.
Aah wapi tena ndiyo mbaya maana zaidi ya robo tatu ya wagombea wataenguliwa kabla ya kupiga kura maana itakuwa rahisi unapambana na mmoja. Utashangaa siku ya kurejesha fomu ofisi imefungwa Yan kutatokea vurugu mechi za kila aina. Hivi unaelewa maana ya kikundi cha watu waliojipa umungu?
 
Mkuu watamtoaje wakati wanamtegemea Membe?

Yani hawa watu ni wajinga mno! Kwamba wameacha kuangalia nani wa kupambana na ccm, eti wanamshabikia Membe kupambana na Magu ndani ya ccm [emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa unajiuliza ccm ikimchagua Membe badala ya Magufuli ndio chadema itakuwa imeingia ikulu ama?
You made my day mate. Yaani hawajielewi kabisa wapo busy eti kazi na bata,hivi nchi hii ina upinzani kweli ?
 
Pole Kaka jamani kabla ya kufanya upumbavu muwage mnafikiria na watoto wenu. Sasa watoto wanateseka kisa ujuaji wa baba yao. Yaani huyu hana tofauti na Victoire wa Rwanda aliecha familia yake Uholanzi kisa kwenda kumpinga Kagame. If you cant beat them,then join them.
Nasikitika kizazi chaakina Nyerere kingekuwa na mawazo ya namna hii ihope mpaka leo tungakuwa tunafungwa vyuma shingoni kutumikishwa na mkoloni shame!
 
Ndo maana nasema unapofanya hayo hakikisha upo tayari,kujitoa na kuitoa muhanga familia yako. Life is too sweet jamani.Hope Erick yupo tayari. Acha apiganie haki yake.
Sasa huwezi kumfanya kila mmoja wetu asifie! Hilo halipo. Wewe subiri huko siku za mbeleni wakishamaliza wale walio wazi wanahamia humu Jf ndiyo maana lazima wawepo watu strong ingawa ni wa chache na wataipata fresh kweli kweli ila lazima wawepo tuu. Wakikosekana ndani basi watatokea nje na hapo ndipo pabaya zaidi.
 
Aah wapi tena ndiyo mbaya maana zaidi ya robo tatu ya wagombea wataenguliwa kabla ya kupiga kura maana itakuwa rahisi unapambana na mmoja. Utashangaa siku ya kurejesha fomu ofisi imefungwa Yan kutatokea vurugu mechi za kila aina. Hivi unaelewa maana ya kikundi cha watu waliojipa umungu?
Kwa nini mnakuwa pro negativity namna hii,kwa reasoning za hivyo hamtaachieve chochote aisee. CCM itatawala milele. Nasikitikia nchi yangu Tanzania. Hata mimi sipendi kuona CCM inaendelea kutawala ila tatizo kwa sasa hakuna mbadala. Wapinzani nao kila chama kinataka kistand out. Kwa style hiyo mtaendelea kugawana asilimia tu.
 
Unapoandika against serikali hakikisha upo safi,maana lazima wakutafute kwenye udhaifu wako wakutie nyavuni. Sasa anaandika against Rais,huku yeye mwenyewe anafinance uhalifu,halipi kodi na anatakatisha pesa. Poor him.
Tatizo mnadhani Rais ni Mungu ni ujinga! atafunga..ataua watu but the day has come it doesn't matter ni baada ya muda gani mateso anayowasababishia watu atayakumbuka nakuyajutia nanyie praise team mtakuwa mmeshahamia kambi nyingine ili tumbo lizidi kujaa
 
Nasikitika kizazi chaakina Nyerere kingekuwa na mawazo ya namna hii ihope mpaka leo tungakuwa tunafungwa vyuma shingoni kutumikishwa na mkoloni shame!
Acheni kujificha kwa Nyerere!

Nyerere alikuwa smart katika kupigania uhuru! Tena huyu Kabendera enzi za Nyerere angepotezwa kabisa.
 
Kwa hiyo familia yake (akiwemo mama mzazi) walioona akitekwa zilikuwa ni hisia tu?

Mkulu. Siwezi kuwasemea familia yake nini kiliwajulisha kuwa ndg yao alitekwa.
Labda waweza kupata ukweli wa hilo kutoka kwa wana familia hiyo.
Kwa kweli nawapa pole kwa maana hiki ni kipindi kigumu kwao.
 
Hii maana yake Freelance journalists, ma-bloggers, YouTubers mmesha lipa kodi TRA au mnafanya kazi 'kienyeji' miaka yote bila kulipa kodi .

Mwenzio akinyolewa wewe tia maji. Kazi kwenu. Kibano kinaendelea.
 
Kwa nini mnakuwa pro negativity namna hii,kwa reasoning za hivyo hamtaachieve chochote aisee. CCM itatawala milele. Nasikitikia nchi yangu Tanzania. Hata mimi sipendi kuona CCM inaendelea kutawala ila tatizo kwa sasa hakuna mbadala. Wapinzani nao kila chama kinataka kistand out. Kwa style hiyo mtaendelea kugawana asilimia tu.
Ukiona ndani ya utawala mpinzani mkuu anayekosoa anapigwa risasi tena mchana kweupe..My dear loveee mambo kama niliyokwambia ni madogo sana! Mimi ni mpinzani wa CCM ila ninachoamini ni kuwa 2020 CCM itanyakua majimbo yote bara na visiwani. Labda wawepo wachache sana wa CUF na mamluki wachache ila usitarajie mbunge yeyote strong wa upinzani kurudi bungeni zaidi ya wale wa viti maalum. Ni ukweli huo japo mchungu. Pia naamini kuwa JPM atapita kwa zaidi ya asilimia 90 na hii ni kutokana na mambo kadhaa tuliyoyaona kwenye chaguzi ndogo.
 
Hakuna aliye salama katika hii nchi kwa sasa. Kuna wanaojiona kuwa wao hawataguswa! Lakini ni vizuri kuwa na tahadhari na mshikamano. Hili la Erick 'linasema' mengi, kutoka uraia na uchochezi hadi uhujumu uchumi, magenge ya wahalifu na utakatishaji fedha!
 
itaenda weee baadaye washtaki watakosa ushahidi mwishowe ataashiwa huru
 
Kwa nini mnakuwa pro negativity namna hii,kwa reasoning za hivyo hamtaachieve chochote aisee. CCM itatawala milele. Nasikitikia nchi yangu Tanzania. Hata mimi sipendi kuona CCM inaendelea kutawala ila tatizo kwa sasa hakuna mbadala. Wapinzani nao kila chama kinataka kistand out. Kwa style hiyo mtaendelea kugawana asilimia tu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Fikiria ccm Inaindoka alafu kina Msigwa, Lema, Mdee Nyarandu, na the like ndio wanaunda selikali!

Hakuna system ya kipumbavu kudump nchi kiasi hiki duniani.
 
Back
Top Bottom