Ndo maana nasema unapofanya hayo hakikisha upo tayari,kujitoa na kuitoa muhanga familia yako. Life is too sweet jamani.Hope Erick yupo tayari. Acha apiganie haki yake.Kwa huu utawala ukiwa against na ukazidisha basi unapotezwa na au ukikoswa koswa jiandae kwa mashtaka ya uhujumu uchumi.
Ndicho kinachoendelea ChademaHalafu unaunga mkono huu utawala...My brother my University mate emb jitafakari. Ukiona utawala unaojisifia sana, kuminya uhuru wa kusema, kuwepo makesi ya ajabu kwa watu makini na watu kupotea hovyo jua kuwa huo ni UTAWALA WA KIDIKTETA kama zile za kina Idd Amin! Hazina tofauti yoyote ile!
"Udikteta ni utawala wa kikundi kidogo cha watu ambao neno la mkuu wao ndiyo sheria na halihojiwi popote pale"
Aah wapi tena ndiyo mbaya maana zaidi ya robo tatu ya wagombea wataenguliwa kabla ya kupiga kura maana itakuwa rahisi unapambana na mmoja. Utashangaa siku ya kurejesha fomu ofisi imefungwa Yan kutatokea vurugu mechi za kila aina. Hivi unaelewa maana ya kikundi cha watu waliojipa umungu?Unajua kuna ile hata kuiba kura mtu anaona aibu. Wapinzani wangeondoa tofauti zao wakaweka Rais mmoja,mbunge mmoja,diwani mmoja. Mbona CCM watakaa asubuhi tu.
You made my day mate. Yaani hawajielewi kabisa wapo busy eti kazi na bata,hivi nchi hii ina upinzani kweli ?Mkuu watamtoaje wakati wanamtegemea Membe?
Yani hawa watu ni wajinga mno! Kwamba wameacha kuangalia nani wa kupambana na ccm, eti wanamshabikia Membe kupambana na Magu ndani ya ccm [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa unajiuliza ccm ikimchagua Membe badala ya Magufuli ndio chadema itakuwa imeingia ikulu ama?
Nasikitika kizazi chaakina Nyerere kingekuwa na mawazo ya namna hii ihope mpaka leo tungakuwa tunafungwa vyuma shingoni kutumikishwa na mkoloni shame!Pole Kaka jamani kabla ya kufanya upumbavu muwage mnafikiria na watoto wenu. Sasa watoto wanateseka kisa ujuaji wa baba yao. Yaani huyu hana tofauti na Victoire wa Rwanda aliecha familia yake Uholanzi kisa kwenda kumpinga Kagame. If you cant beat them,then join them.
Sasa huwezi kumfanya kila mmoja wetu asifie! Hilo halipo. Wewe subiri huko siku za mbeleni wakishamaliza wale walio wazi wanahamia humu Jf ndiyo maana lazima wawepo watu strong ingawa ni wa chache na wataipata fresh kweli kweli ila lazima wawepo tuu. Wakikosekana ndani basi watatokea nje na hapo ndipo pabaya zaidi.Ndo maana nasema unapofanya hayo hakikisha upo tayari,kujitoa na kuitoa muhanga familia yako. Life is too sweet jamani.Hope Erick yupo tayari. Acha apiganie haki yake.
Kwa hiyo wewe unaamini yuko hai kwa sababu wameshindwa?Hujui kwanini huyu yuko hai mpaka leo na bila shaka hujui kwanini Lwajabe " alijinyonga "
Kwa nini mnakuwa pro negativity namna hii,kwa reasoning za hivyo hamtaachieve chochote aisee. CCM itatawala milele. Nasikitikia nchi yangu Tanzania. Hata mimi sipendi kuona CCM inaendelea kutawala ila tatizo kwa sasa hakuna mbadala. Wapinzani nao kila chama kinataka kistand out. Kwa style hiyo mtaendelea kugawana asilimia tu.Aah wapi tena ndiyo mbaya maana zaidi ya robo tatu ya wagombea wataenguliwa kabla ya kupiga kura maana itakuwa rahisi unapambana na mmoja. Utashangaa siku ya kurejesha fomu ofisi imefungwa Yan kutatokea vurugu mechi za kila aina. Hivi unaelewa maana ya kikundi cha watu waliojipa umungu?
Magundu Kuna kitu anakitafuta, na atakipataNaombeni mniombee
Nyooo !!
Siku nikitekwa mazee mnitunzie swalehe maana jamaa angu huyu hataki kukosolewa kabisa ani tunaishi kiuoga uoga utafikiri tupo somaliland
Tatizo mnadhani Rais ni Mungu ni ujinga! atafunga..ataua watu but the day has come it doesn't matter ni baada ya muda gani mateso anayowasababishia watu atayakumbuka nakuyajutia nanyie praise team mtakuwa mmeshahamia kambi nyingine ili tumbo lizidi kujaaUnapoandika against serikali hakikisha upo safi,maana lazima wakutafute kwenye udhaifu wako wakutie nyavuni. Sasa anaandika against Rais,huku yeye mwenyewe anafinance uhalifu,halipi kodi na anatakatisha pesa. Poor him.
waovu waki kimya huwa hawaigusi serikali.. ww wa wapiNdiyo maana alikuwa anaichafua serikali ili afiche uovu wake.
Acheni kujificha kwa Nyerere!Nasikitika kizazi chaakina Nyerere kingekuwa na mawazo ya namna hii ihope mpaka leo tungakuwa tunafungwa vyuma shingoni kutumikishwa na mkoloni shame!
Kumuua sema kelele zimewashtuaKila siku kuna charges mpya, najiuliza lengo la kumkamata tokea mwanzo lilikuwa nini?
Kwa hiyo familia yake (akiwemo mama mzazi) walioona akitekwa zilikuwa ni hisia tu?
Ukiona ndani ya utawala mpinzani mkuu anayekosoa anapigwa risasi tena mchana kweupe..My dear loveee mambo kama niliyokwambia ni madogo sana! Mimi ni mpinzani wa CCM ila ninachoamini ni kuwa 2020 CCM itanyakua majimbo yote bara na visiwani. Labda wawepo wachache sana wa CUF na mamluki wachache ila usitarajie mbunge yeyote strong wa upinzani kurudi bungeni zaidi ya wale wa viti maalum. Ni ukweli huo japo mchungu. Pia naamini kuwa JPM atapita kwa zaidi ya asilimia 90 na hii ni kutokana na mambo kadhaa tuliyoyaona kwenye chaguzi ndogo.Kwa nini mnakuwa pro negativity namna hii,kwa reasoning za hivyo hamtaachieve chochote aisee. CCM itatawala milele. Nasikitikia nchi yangu Tanzania. Hata mimi sipendi kuona CCM inaendelea kutawala ila tatizo kwa sasa hakuna mbadala. Wapinzani nao kila chama kinataka kistand out. Kwa style hiyo mtaendelea kugawana asilimia tu.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Fikiria ccm Inaindoka alafu kina Msigwa, Lema, Mdee Nyarandu, na the like ndio wanaunda selikali!Kwa nini mnakuwa pro negativity namna hii,kwa reasoning za hivyo hamtaachieve chochote aisee. CCM itatawala milele. Nasikitikia nchi yangu Tanzania. Hata mimi sipendi kuona CCM inaendelea kutawala ila tatizo kwa sasa hakuna mbadala. Wapinzani nao kila chama kinataka kistand out. Kwa style hiyo mtaendelea kugawana asilimia tu.