Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

Kabudi ametuthibitishia hili
Azory was feed to crocodiles hapo river rufiji, what saved this gentleman ni zile kelele watu walipiga wakati anatekwa otherwise angekuwa maiti by now, i dont know many many people ccm will kill to get okay and well with human blood sacrife in order to silence those with diffrent viwes and so, lakini kusidwa kumumaliza lissu ndiko kunauma jiwe sana kabisa kabisa
 
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Mkuu mtu anayedili na hela chafu kuna evidence nyingi sana tena za kuanzia za uwazi achana na hizo hiden ambazo ziko monitored kwa kiasi kikubwa na taasisi za fedha zenyewe na FIU.

Issue ya huyu jamaa imekuwa ya utata sana,toka polisi wenyewe kusemea juu ya uraia hadi kuibuka na kesi ya uhujumu uchumi...what a u turn?
 
Utakuwa mtu wa ajabu sana karma huelewi hili. Yaani waje watu na silaha na hawataki kujitambulisha kisha wamchukue ndugu yako kinguvu bila kuwapa sababu na uishie kusema hizo ni hisia tupu? Huu ndio mwisho wa ubinadamu wako? Taratibu za kumkamata mtu si zinaeleweka wazi kisheria?

Hayo unayosema siwezi pinga wala kukubali kwa sababu siwezi thibitisha, maana sikuwepo wakati anakamtwa. Kwa namna unavyosisitiza inaonekana kana kwamba ulikuwepo kwenye eneo la tukio.
 
Wamesema ametakatisha fedha 173m hapo na amekwepa kodi ya 173m, kwa uelewa wa kawaida tu utagundua hapa wamepika maana km kakwepa kodi iweje fedha hizo hizo ziwe ndo alitakatisha?

Duuu, mimi hapo siyo mtaalam wa mabo hayo, hivyo siwezi tia neno hapo.
 
kwa hiyo angehamia Uchina halafu awe anaandika ya Bongo, angeyajuaje na yangemhusu nini wakati kahama?

wewe ni coward, mwoga, mwenzako ni brave and patriotic...
Brave and patriotic? angeweza kuandika makala kama zile under a false ID, pia unaweza kufuatilia kila kitu bongo ukiwa nje, dunia ni kijiji hiki, zile makala zake zilikuwa zinachambua tu hotuba za magufuli, miradi anayoifanya na sera zake ambazo hata ukiwa Australia huko ukifuatilia utafahamu tu, au unaweza kuniambia ni vitu gani aliandika ambavyo mtu ukiwa nje huwezi kuvijua? vyote vipo wazi tu, sema yeye ameandika katika kuvikosoa

pia unaweza kuwa na watu wako bongo wanaokupa taarifa za ndani ambazo haziwekwi kwa waandishi, akina Mange kimambi, Ngurumo wanapata intel nzuri tu na wapo nje, hivyo ndivyo waandishi pragmatic, wanavyoishi kulingana na uhalisia wa hali, sio kujifanya unakufa kishujaa, kesho wanakusahau, unaacha familia inateseka na hakuna mabadiliko yoyote uliyofanikiwa kuyaleta sababu ulienda kiboya
 
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Teh teh teh Mimi nangoja viwanda tu.
 
Mkuu mtu anayedili na hela chafu kuna evidence nyingi sana tena za kuanzia za uwazi achana na hizo hiden ambazo ziko monitored kwa kiasi kikubwa na taasisi za fedha zenyewe na FIU.

Issue ya huyu jamaa imekuwa ya utata sana,toka polisi wenyewe kusemea juu ya uraia hadi kuibuka na kesi ya uhujumu uchumi...what a u turn?

Tusijipe mzigo wa kutafakari maswali mengi, acha tuache vyombo vifanye kazi, tutajua ukweli ni upi.
 
YOUR REASONING CAPACITY IS TOO LOW PLS,
Yuko jela mi nipo uraiani, mtu mwenye ku reason vizuri lazima awe practical, unaandika vitu unajua kesho utakamatwa na bado unaandika tu, wakati ungeweza kuandika ukiwa nje au kutumia fake ID
 
Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.

Data zenyewe za miamala sitapikwa na hao hao walimbambikizia kesi kama walidukua mawasiliano ya kwao wanashindwaje kutengeneza huo uchafu?
 
FAKE CASE! Kwanza walidai uraia wake una walakini. 2013 walichunguza uraia wake na kuhitimisha kwamba uraia wake ni Mtanzania na hauna tatizo lolote lile.

Kisha wakadai wamempekua na kumkuta ana passports 7 za nchi mbali mbali nao ni uongo wa hali ya juu.

Kisha wakadai ni mchochezi kisa tu kaandika ukweli halisi wa hali ya nchi yetu toka huyo nduli na dikteta wa chato aingie madarakani.

Mwisho wamembambika mashtaka UCHWARA ili tu wapate nafasi ya kumfunga.

Nduli na dikteta wa chato alaaniwe na Mwenyezi Mungu yeye na vizazi vyako vyote kwa mateso makubwa ambayo Watanzania mbali wameyapata tangu huyo nduli aingie madarakani 2015.

Mwandishi wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera amefikishwa Mahakama ya Kisutu leo

Anashtakiwa kwa makosa matatu chini ya sheria uhujumu Uchumi ambayo ni...

1. Kujihusisha na mtandao wa uharifu, 2015-2019 katika maeneo ya Dar Es Salaam aliongoza kundi la uhalifu kwa lengo la kupata faida au manufaa mengine

2. Kukwepa kulipa kodi. Katika tarehe tofauti kati ya 2015 hadi 2019 katika jiji la Dar es Salaam alikwepa kulipa kodi zaidi ya Tsh milioni 173

3. Kutakatisha fedha haramu.

View attachment 1172905
View attachment 1172906
View attachment 1172907
 
Back
Top Bottom