Jof3
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 663
- 323
Hadi cyan color tutaiona?hakuna rangi tutaacha kuona kwenye awamu hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi cyan color tutaiona?hakuna rangi tutaacha kuona kwenye awamu hii
yoyoWanamsubiri Da Mange..
Siyo mchokozi, huyu bibi ni hamnazo!Mchokozi kumbe wewe
Basi Richard hacha ukatili. Mwenzako anapoonewa au kuteseka usifurahie bali muonee huruma na umwombee faraja. Hivi kwa mazingira ya tangia kukamatwa kwa Erick, taarifa zote za polisi/uhamiaji za kimagumashi bado ujaona kama kuna uonevu wowote. Hata kama wakubwa hawakukipenda alichoandika Erick, basi wawe wawazi wamkamate kwa utaratibu unaotumiwa katika kukamata watu wengine wa kariba yake na waseme wanamkamata kwa kosa hili au lile. Siyo kutuletea maigizo wakati mwenzetu anateseka na familia yake inasoneneka. Halafu eti mtu kama wewe uoni tatizo unashangilia mwenzako kuteseka kwa kisingizio eti umetoa maoni. Hacha roho mbaya muonee binadamu mwenzako uruhuma anapoteseka/anapoonewa tafadhali.
tunawajua nyie ndio mnaojiita msiojulikana ila kama mungu yupo hakika mtaumbuliw hapahapa duniani nyinyi na vizaz vyenu msituone watanzania wajinga na msukuma wenu anatuita wanyonge...mlaaniweKwa hiyo,
1. Umesoma matapishi yangu na umeamua kujibu.
2. Ungenitemea mate eti natia kinyaa.
3. Nina akili ya kuazima
🙂🙂
Halafu, mimi ungefahamu si mtu wa kuagizwaagizwa tu ila nna uwezo wa hata kukuagiza wewe na ukatekeleza agizo langu.
Huna haja ya kutoa povu jingi kiasi hicho, mimi nimeandika maoni yangu ambayo wewe kama walivyo wengine unakimbilia kutukana.
Sitegemei binti mzuri kama weye kutoa povu jingi kiasi hichi kwa ajili tu ya mtu aitwae Kabendera.
Ni wachache sana watakaekuelewa ngugu yangu.Hapa mtu lazima utumie general rule...Kama unashutumu wengine wewe mwenyewe you have to be clean..yaani unalazimika kuwa msafi....makosa ya crime hayana muda maalum, kama ulifanya kosa mmwaka 1990 unaweza ukashitakiwa sasa (labda mjuzi wa sheria anisahihishe hapa)....Halafu inawezekana makosa ya uchochezi yakafuatia baadaye baada ya uchunguzi kukamilika..ila sasa mhusika bila shaka anashitakiwa kwa makosa au tuseme tuhuma ambazo upelelezi wake umekamilika...Hilo la uchochezi litafuatia ...Ushauri wangu kwa wanaJF wenzangu ..don't play na dola...State ni kitu kingine kabisa...Sijui mnaojidanganya na the so called freedom of expression/opinion...there is no absolute freedom of the press or freedom of expression/opinion anywhere in this planet/world....Hata Marekani au Uingereza au kokote kule ukiichezea dola utashughulikiwa tu...
Acha mavi wewe umkamate mtu ukisie kosa mara tatu useme una uhakika.Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
Hamna lolote, hakuwa wa kitisho hivyo. Lengo lilikuwa ni kumalizana naye nje ya uwanja, maana hawana grounds za kumshtaki mahakamani zaidi ya kesi za kuchomekea. Walipoona haijakaa vizuri ndio ikabidi wajifanye ni uhamiaji. Watanzania wajinga waliisha enzi za Nyerere, kwa sasa watu wanajua nini kinaendelea. Ww poteza muda wako kujifanya unatoa maoni sana sana unaonekana juha unayetetea uovu.
Vyombo vipi, hivi nyie vijana wa lumumba mbona njaa mmeiendekeza sana na hata hiyo faida hakuna mmekuwa kaa mingese ya mombasa khaa mnakela sana kuja mjini imekuwa shida.Unavyoongea hivyo, una taarifa kamili kuhusu kesi hii??
Wakikuonesha ma transaction kwenye account yake jinsi yalivyo, utabishaa???
Tukae kimya, huku vyombo vya nchi vikiendelea kutenda haki.
NImeishazoea matusi, ni lugha yenu.
tunawajua nyie ndio mnaojiita msiojulikana ila kama mungu yupo hakika mtaumbuliw hapahapa duniani nyinyi na vizaz vyenu msituone watanzania wajinga na msukuma wenu anatuita wanyonge...mlaaniwe
yoyo
Kwa kweli makala hizo zinaweza kuwa na lengo jema la kukosoa lakini aliweka maneno ya kashfa na lugha ya dharau kwa kiongozi wa nchi, hapo kakosea sana na amekuwa kama Kashoggi.
Makala aloiandika tarehe 26 Julai (mwezi ulopita) ilikuwa "too critical but worse" na ilikuwa lazima isimamishe kope za walengwa.
Huna lolote wewe, kumbe una-judge mwenzako kuwa chequebook Journalist na inaonekana wewe mlamba viatu vya hao unaowata wakuu wa nchi. Wakuu wa nchi wasiotaka kukosolewa ni dictators. Kwa hiyo ukiwa mkuu wa nchi hukosei na kukosolewa. Haya wewe endelea kulamba viatu vya hao wanakupa kiburi cha kuwahukumu watu ukizani wewe mwema.Naona kuna kasoro kidogo kwenye matumizi ya lugha ya Kiswahili sifahamu level yako ya uelewa.
Mimi ni mpenzi na msomaji wa jarida la Economist na pia ninalipia kusoma (subscription) jarida la "Africa Confidential", hivyo nimesoma makala nyingi za Kabendera kwenye vyombo hivyo.
Nilijiunga na Africa Confidential mwaka 2006 nilipojiunga na JF hivyo nina kahistoria kidogo na jarida hilo na nawafahamu waandishi wake wengi hata kama wanaficha majina.
Kwa kweli makala hizo zinaweza kuwa na lengo jema la kukosoa lakini aliweka maneno ya kashfa na lugha ya dharau kwa kiongozi wa nchi, hapo kakosea sana na amekuwa kama Kashoggi.
makala aloiandika tarehe 26 Julai ilikuwa "too critical but worse" na ilikuwa lazima isimamishe kope za walengwa.
Pili, hayo mashtaka alosomewa leo mahakamani mimi na wewe hatufahamu lolote mpaka kesi itapoanza hivyo tuwe na subira.
Mfuatilie Paschal Mayala na jaribu kuelewa aina ya uandishi wake na kama ni mwelewa unaona namaanisha nii katika kumkosoa Kabendera kwamba yeye ni muumini wa chequebook Journalism.