Kesi zote za Kigaidi Duniani huendeshwa kwa umakini mkubwa, na ulinzi huwa unaimarishwa. Hakuna mihemko katika hiliNi Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.
Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi
Kama hamtaki kukosolewa, hata kama unaona ni kwa maneno ya kejeli, achieni madaraka, au mtakufa kwa magonjwa ya stress!Hivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
Ushahidi gani huo zaidi ya uzushi na uongo?!Kuna minog'ono inasambaa mitaani hasa mitaa ya Zahir restaurant vijiweni kuwa upelelezi wa sakata la Mbowe umekamilika na kesho atakuwa commited to High court...
Hata nyie kubali vipigo acha kulalamika kama visimbeKama hamtaki kukosolewa, hata kama unaona ni kwa maneno ya kejeli, achieni madaraka, au mtakufa kwa magonjwa ya stress!
Jinga sana ww endelea kula mtori,waachie makamanda wapámbaneHivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
Nani amelalamika? Wewe Una uvumilivu gani, sukumagang? Maneno tu unalialia eti kejeli, kama kibao kikikugeukia ujikute Wewe ndo unapaswa kukubali vipigo, utavumiliaje?!Hata nyie kubali vipigo acha kulalamika kama visimbe
Trump, Boden,Hivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
[emoji2][emoji2][emoji2]Thubutuuu
Maandamano mwisho twita na jf
Jibu hoja wewe nyumbu kwani kuweka details zake hapa ndiyo umejibu hoja? Hivi shuleni mlienda kusomea ujinga au??
Kama ni Gaidi aitwe Gaidi hakuna namna!!Namnukuu mwanakijiji mmoja kutoka ukerewe
"John Pambalu asingekubali kufanya Kazi na mwenyekiti muhujumu uchumi na Gaidi"...
Ushauri.Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi.
Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi.
Kesi hii inavuta kila mpenda haki na mwanademokrasia kutokana na ukweli Mbowe amebambikizwa kesi hii ili kumnyamazisha kutokana na Kampeni aliyoasisi ya Kudai Katiba Mpya...
Mdude alisamehewa ama alishinda kesi? Vijana wa CCM ni majuha sana.Hivi unamkumbuka mdude alijigamba vipi baada ya kusamehewa? Kiongozi gani anakubali maneno ya kejeli kama hayo. Midomo inawaponza
Mchumia tumbo mamboleo. Ubinafsi ndio moyo wake, haki ya wengine kwake sio ya msingi. Jambo la msingi yeye ashibe hata kama wengine wanaumizwa vipi.!Wapenda amani kote nchini na wazalendo wa nchi popote pale walipo kamwe tusikubali hawa wahuni wachache wanao jifanya wanadai haki kwa kuvunja sheria watuharibie Amani ya nchi yetu.
tuchukue hatua za kuwafichua na kuwa ripoti popote pale walipo.
sio wafuasi wote wa chadema wanafurahia uhuni huu bali wapo wahuni wachache wenye chembe chembe za Ugaidi/uhalifu/ujanbazi/wizi ndio wanafanya vitendo hivi vya kihuni ili wapate sababu.