Akili za polisi na CCM ni takataka, tope. Wanashindwa kuona kitu kidogo kuwa ukiona watu wametoka na kuja pamoja a vitisho, mazoezi yas polisi, kuwafunga CDM etc ujue huko nyuma kuna millionsPamoja na vitisho vya IGP Sirro bado wafuasi wa Chadema wametoka barabarani na wamefika Kisutu na maoni yao kwa njia ya mabango kwa amani.
Hongera kwa sapoti mliyoonyesha kwa Mwenyekiti wenu Freeman Mbowe, lengo mlilokusudia la kupeleka ujumbe limetimia.